Recent content by kwelinikwelitu

  1. K

    Wana ukonga list ya wabunge hiyo

    Ndugu hata mimi ningeunga mkono ukawa lakini Mwita Waitara hatoshi : - Mimi mwana kivule tumempa mtaa bado hajafanya kazi ya kunishawishi - 2010 alikwenda kugombea ubunge kwao hawakumpa iweje sisi ukonga tumpe kirahisi na kwao walimwona hafai .Msifanye Ukonga kichwa cha Mwendawazimu kila mtu...
  2. K

    Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

    Kama haya ndo yakujadili tumekwisha
  3. K

    Mwaiposa tunakupongeza wanamsongola

    Nyie hamna kazi ila kuwasifiya MICCM tu. Miaka 50 mimi sioni kitu kupatiwa uneme na maji kwenu ndo mnakaa mnasifiwa his mijitu
  4. K

    Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

    Nakuhakikishia MamaMwaiposa yuko poa na tunamrudisha Ukonga.
  5. K

    Ukonga tusidanganyike Jerry Slaa hafai

    Ndugu zangu kuweni macho na Jerry Slaa anajipitisha kutaka ubunge wakati huku kwenye kata Gongolamboto hatujawahi kumwona nasikia kaja Kwa mara ya kwanza ktk chama chake Li CCM kagawa 30.000 wakati wananchi katuacha. Kafisadi manispaa sasa anakimbia .Jamani wana Ukonga tusidanganyika huyu...
  6. K

    Mh Mwaiposa nakukubali

    Huyo wa mwaka 84 mwache hivyo hivyo na pumba zake. Ila mheshimiwa Mwaiposa kwa kipindi hiki cha kwanza kashuka.Nakumbuka kumtumia ujumbe kuhusu kiwanda cha moshibar kesho yake kaja na kuahidi kukifunga na kakifunga kweli. Mama tutakupigania ila hama huko kwa mafisadi
Back
Top Bottom