Mwaiposa tunakupongeza wanamsongola

singsong

Member
May 7, 2014
77
9
Mama yetu tunakupongeza kwa mambo mawili makubwa.
1. Kutulia u meme msongola na juzi tumeletewa nguzo nyingi sana eneo la mvuti.
2. Maji kisima Kirefu na matenki ya maji pamoja na kutuwekea umeme wa sola katika zahanati za mvuti na msongola.

Umefanya mengi lkn hayo yalinikuna zaidi. Bado tunakuhitaji
 
Weeweee Umeanza Kampeni mapema sasa. Ila bila unafiki Mimi nimwogope Mungu huyu mama kajitahidi . Tulimwita bombambili barabara yetu katuchangia na kututafutia wafadhili na kisima cha maji .

Wanamwangusha madiwani wake wao safari kila siku na huyo meya wao msanii diamond.
 
Nyie hamna kazi ila kuwasifiya MICCM tu. Miaka 50 mimi sioni kitu kupatiwa uneme na maji kwenu ndo mnakaa mnasifiwa his mijitu
 
Back
Top Bottom