Jamani wadau naomba anayefahamu sifa za elimu ya mbunge wa jimbo la makambako, maana kuna tetesi jamaa kasoma mpaka darasa la pili kaingia mitini. swali je?
Itawezekanaje mtu aliyesoma madarasa mawili kutunga sheria ambazo zitaliongoza taifa kwa mda wamiaka hamsini bila kufanyiwa marekebisho...
MAGUFULI NI RAISI WA JMT HIVYO SIO RAISI WA CCM ANA HAKI YA KUKUSANYA ILANI KUTOKA CHAMA CHOCHOTE NA KUANGALIA YALE MAZURI ZAIDI NA KUWATENDEA WATANZANIA. WEWE ULIYEPOST UACHAMA HAPA JITAMBUE NYINYI NDO MNAOPANDIKIZA CHUKI KWA WANANCHI WASIIPENDE SELIKALI NA KULETA MAKUNDI YENYE MSIMAMO...
JAMANI WADAU,
HIVI SERIKALI UMAKINI WAKE WA KULINDA AMANI UKO WAPI KWA HAYA YAFUATAYO:
1.LOWASA KUTOA MATAMKO MAZITO YA KUTORIDHISHWA NA MWENENDO WA UCHAGUZI KUWA ULIKUWA WA HILA NA SIO WA HAKI LKINI SERIKALI IKO KIMYA INAPUUZA KWA KUWA IN MAJESHI.
2.KUTOSIMAMIA NA KUWAWAJIBISHA WAKURUGENZI...
Ushauri wangu kwa serikali ni kwamba maridhiano ni muhimu sana katika kuleta amani na mshikamano dharau hazisaidii cha msingi kuwasikiliza upinzani na kutatua dosari na kutoa ufafanuzi zaidi kwenye sitofahamu inayoendelea, itatugarimu sote tume kuweni makini sana, peace and security is upon you,
Wadau napenda kuwakumbusha vitu kadhaa,
1. Wakati wa mchakato wa katiba wapinzani walizungumza kuhusu serikali tatu, suala hili lingetuondolea mgogoro wa kutangaza matokeo wakati zanzibar wamefuta uchaguzi.
2. Mamlaka ya raisi kuwa kama mungu hata akifanya hoyo akimaliza mda wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.