Wadau napenda kuwakumbusha vitu kadhaa,
1. Wakati wa mchakato wa katiba wapinzani walizungumza kuhusu serikali tatu, suala hili lingetuondolea mgogoro wa kutangaza matokeo wakati zanzibar wamefuta uchaguzi.
2. Mamlaka ya raisi kuwa kama mungu hata akifanya hoyo akimaliza mda wake hawajibishwi.
3. Uhalali wa mali za watumishi wa uma hasa pale ripoti ya cag itapoonesha kuna ubadhilifu katika taasisi .
4. Mgawanyo wa madaraka bila kuingiliana mfano. Wabunge kuteuliwa kuwa mawaziri ambao wanageuka kuwa watendaji wa serikali tena, hivyo kutokuwa na nguvu ya kuibana serikali ikifanya madudu, wito wangu kwa serikali isitafute mchawi mchawi ni kupuuza mawazo ya wengine na udikteta wanaoufanya.
Note: 'freedom and development is coming, if not now next time to keep us out of injustice'. Maji, madawati, mishahara, miumbinu, uwajibikaji, ukwepaji kodi kwa matajiri, punguzo la kodi kwa wenye kipato cha chin, sheria rafiki kwenye mikopo, ajira na kuwafunga gerezani watumishi wazembe na vijana wanaogoma kufanya kazi.
Toa maoni