Naona mabishano haya si mema... lakini nijualo, waacheni wenye hila, matusi , na wauaji waendelee kufanya kazi yao walotumwa na shetani. Nanyi wa nuruni.. enezeni nuru maana ninyi na barua.... ninyi ni chumvi ya ulimwengu.
Ninapata hofu kuitambua taswira ya nchi hii kama wapinzani wakichukua nchi watawaacha machinga mjini. Mambo mengine si ya kutetea. Fuateni taratibu. Mbona nchi za wenzetu pia yapo?? Au ndo sie kujifanya tunaresist kila kitu only for the sake of being seen as mpinzani. Machinga wana maeneo yao...
Wanaostahili ajira wamepata. Kama wewe unaona hujapata subir second selection. Au kasome maana huwez ajiriwa na stashahada yako wakat kuna watu na shahada zao wapo home. Kasome nawe upate shahada uje uajiriwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.