Recent content by Kwame Nkuruma snr

  1. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Kitovu na Uume wa mtoto.

    Mzizi mkavu na Mshana njooni mshushe busara zenu kwenye huu uzi
  2. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Tuanzie hapa je Jana Wema alikuwa Moshi au Arusha?????
  3. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Pata viatu vya mtumba grade one.

    Kiatu cha mtumba grade one Tsh 25,000 hadi 30,000/= magu hoyeeee
  4. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kukanusha tuhuma za audio inayosambazwa ikumhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

    Kipindi cha voice note ya Stive Nyerere tulipiga sana vigelegere sasa ni zamu yetu
  5. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Kijana anayeogopwa asiyefikia hata miaka 30

    Kila wanapo tumia nguvu kubwa kuzuia ndio wanavyo fanya promotio ya bidhaa husika
  6. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    Angempa Tundu Lissu hiyo wizara
  7. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    Naona baada ya Mangu kutumbuliwa wakazi wa Singida wame pozwa Kwa uteuzi wa mama Mgwira
  8. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya wizara ya nishati na madini inawasilishwa kesho bungeni,nani ataiwasilisha?

    Bajeti ya wizara hii wakati wa kusomwa miaka ya nyuma ulikuwa msimu wa mavuno
  9. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya wizara ya nishati na madini inawasilishwa kesho bungeni,nani ataiwasilisha?

    Ule utalatibu wa kupitisha bahasha wakati wa bajeti ya wizara hii ikisomwa bado upo ????
  10. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Wagombea uenyekiti UVCCM 2008 wako wapi?

    Benno Malisa yuko wapi ???
  11. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Lema: Mwigulu nafikiri ni vyema sasa ukaanza kuishi kama Mbunge wa kawaida kwani baada ya IGP Mangu

    Naona watu Wa Singida huu ni msimu wao 1.Nape out 2.Mangu out 3.......... out 4.Kitila Mkumbo inn 5.Tundu Lissu Balozi wa kudumu wa Singida Kwa nyakati hizi
  12. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kamishna Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania(IGP)

    Mkuu naona mmefutwa machozi Kwa uteuzi huuu baada Prof.Muhongo kusomeshwa namba za kirumi
  13. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kamishna Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania(IGP)

    Singida walio ingia na kutoka Out 1.Nape Nnauye huyu alikulia na kuzaliwa huko na mama yake Ni mwenyeji wa Singida 2.Ernest Mangu. Inn 1.Kitila Mkumbo Waiting 1.Mwiguru Nchembe Mtu atakaye shine Muda wote nyakati hizi 1.Tundu Antipasi Lissu
  14. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Kamanda Msangi kupelekwa jijini Dar?

    Wapi kaka mkubwa Ulimboka
  15. Kwame Nkuruma snr

    JamiiForums Tanzania Tanzania One s/msingi, O-level, A-level, UDSM apata shahada ya Uzamivu akiwa na miaka 30

    Huyu mtoto wa Eng.Gregory Chegere???
Back
Top Bottom