Bajeti ya wizara ya nishati na madini inawasilishwa kesho bungeni,nani ataiwasilisha?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
15,133
25,873
Wizara haina waziri,je nani ataiwasilisha bajeti?

Je bunge litakubali kumsikiliza naibu waziri akiwasilisha bajeti?
 
MACCM wanaweza kufanya lolote lile kutimiza uhuni wao. Kumbuka October 2016 waligawana rushwa mtaani kwao kwa mazuzu wenyewe wanaita lumumba. Kila mbunge wa MACCM alijizolea milioni 10 ilikuwa aseme ndiyooooooooo kupitisha muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini.

Ule utalatibu wa kupitisha bahasha wakati wa bajeti ya wizara hii ikisomwa bado upo ????
 
MACCM wanaweza kufanya lolote lile kutimiza uhuni wao. Kumbuka October 2016 waligawana rushwa mtaani kwao kwa mazuzu wenyewe wanaita lumumba. Kila mbunge wa MACCM alijizolea milioni 10 ilikuwa aseme ndiyooooooooo kupitisha muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini.

Bajeti ya wizara hii wakati wa kusomwa miaka ya nyuma ulikuwa msimu wa mavuno
 
Wizara haina waziri,je nani ataiwasilisha bajeti?

Je bunge litakubali kumsikiliza naibu waziri akiwasilisha bajeti?
Where do you get this view? Kwa nini wasimsikilize? Kwani hiyo bajeti anaandaa waziri? Ni bajeti ya wizara siyo bajeti ya waziri. Pia uelewe kuwa naibu waziri ndiye waziri wakati waziri hayupo.
 
Back
Top Bottom