Recent content by Kwa Jombaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

    Humu JF kuna watu wanjua kukuza sana mambo sijui kwa lengo gani,ila same same wtu utawakuta wamefurika beach kidimbwi,juliana,tips,waswanu(hapa hata parking inakuwa shida),unakuta wanakula bata kama vle hakuna kufa,wakija hapa JF wanalalamika hao kama wamama wajawazito. Sent using Jamii Forums...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Are you afraid of the dark by Sydney sheldon
  3. K

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kuvuana viatu tunapokuja maofisini yamekaaje?

    Tulienda ofisini kwa mkuu wa mkoa mara ps akatuambia tuvue viatu eti mkuu ni mtu wa swala sana hataki watu waingie na viatu ofisini kwake.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Soma hii kwa tafakuri

    Sasa tunafeli wapi??
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, unatamani kitu kingine kipi kijengwe Chato?

    Najaribu kuwaza hapa,unakuwa mbunge wa jimbo flan kwa kipindi cha miaka21 mfululizo,halafu ktk hyo miaka21 ya ubunge unakuwa waziri pia kwa kipindi cha miaka 19 mfululizo,Then unakuwa PREZDAA wa nchi miaka 10 labda;halafu sasa wananzengo wanakuja kuku evaluate umewafanyia nini wananchi wa jimbo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa ATCL wamechanganyikiwa? Safari ya Dar - Entebbe masaa 17?

    Mimi mwezi uliopita nimesafi na ATC from Dar to Entebe via KIA,ila hatukutumia muda huo,its one hr from dar to kia then from kia to Entebe ni one hr,tulitumia airbus mpya
Back
Top Bottom