Watu wa Airport watoe majibu, Tanzania Migration inawekwa doa Youtube na tourist wa African American

Mimi sijasema Dar, ilishanitokea Heathrow, safari ingine uswisi mara kadhaa nikaacha kutumia swissair anyway watanzania tunakatabia ka kipuuzi kukandia vya kwetu
Jambo baya popote linatakiwa kukemewa.

Leo nilikuwa naongea na rafiki yangu Nyani Ngabu , kakosea njia katumia airport mbaya kabisa ya New York ya La Guardia.

Nikamwambia kutumia airport ya La Guardia New York ni bora akapande ndege gerezani kisiwa cha Rikers.

Kwa hiyo sisi raia wa dunia tunasema ujinga tunapouona popote.

Juzi nilikuwa najibizana na Nyani Ngabu huyu huyu, nainanga demokrasia ya Marekani, naonesha mapungufu yake.

Kwa sababu kuna mtu aliiweka juu sana Marekani kama kigezo katika demokrasia.

Kwa hiyo, kwenye kundi la watu wanaoponda vya kwetu tu, simo.

Ila naponda ujinga dunia nzima, sijali kwetu au ugenini.

Na kwa vile wanasema "charity begins at home", nikianzia na kushikia bango nyumbani, hakuna ubaya.

Ndipo makaburi ya wahenga wangu yalipo hapo.
 
Kama msafiri hana visa ya nchi nyingine, mwachie atajua huko huko nini cha kufanya, kwa nini umzuie?
 
Uongo mkuu huu
Kuna siku Watu wa Uhamiaji pale airport walimzuia abiria kurudi kwao eti kwa sababu aliingia Tanzania kupitia Namanga kwa hiyo lazima atoke kurudi nchi yake kupitia Namanga! I say nilibaki hoi. Alijaribu kujieleza alipitia Namanga baada ya kutembelea Kenya, kisha akaenda Ngorongoro na kuja Dar es Salaam hadi Zanzibar sasa alikuwa anarudi nyumbani. Wapi bwana, walimgomea. Ndio nikajua Tanzania kuna watu vihiyo sio kawaida - akili ndogo mamlaka makubwa kama baba yao!
 
a straight ratchet, throws hissy fit because officials of a small country wouldn't throw flowers on her shady path...

claims this happened to her possibly because they didn't believe she is American, but her nationality was never raised as an issue... she must ignorantly believe that her country gives her special dispensation to have standard aviation rules waived ...

very condescending, lampoons the Tanzanian official for pulling " a stupid book" to look up the applicable transit Visa rules instead of just googling... that right there tells you all you need to know about her intellect. Official rules and laws of international aviation are to be found in books, not online. That's why "the stupid book" is there.

her video purposely begins with a sustained scan of the ramshackle neighborhood of rusty-roofed houses before she poses right in its foreground in order to shame our country, then hypocritically praises the “sambusas,” the nice people, the anticipated "ancestral land of my mother" in Sierra Leone, which is another third world place where she will see more the same poverty and dilapidation...

of course she dumps on the cheap motel amidst the slums that she chose to stay in, a place which had nothing to do with what happened to her at the airport...totally off point, totally meant to disparage the country's hospitality services only cos she couldn’t satisfy transit visa requirements...

drama queen carried some print-outs of a Visa that was not showing in the system and was properly denied travel, simple as. There is no customs officer in this world who does not know what a transit visa is, don’t believe her one-sided bed time story, please!
 
a straight ratchet, throws hissy fit because officials of a small country wouldn't throw flowers on her shady path...

claims this happened to her possibly because they didn't believe she is American, but her nationality was never raised as an issue... she must ignorantly believe that her country gives her special dispensation to have standard aviation rules waived ...

very condescending, lampoons the Tanzanian official for pulling " a stupid book" to look up the applicable transit Visa rules instead of just googling... that right there tells you all you need to know about her intellect. Official rules and laws of international aviation are to be found in books, not online. That's why "the stupid book" is there.

her video purposely begins with a sustained scan of the ramshackle neighborhood of rusty-roofed houses then before she poses right in its foreground in order to shame our country, then hypocritically praises the “sambusas,” the nice people, the anticipated "ancestral land of my mother" in Sierra Leone, which is another third world place where she will see more the same poverty and dilapidation...

Yeah true, i was very dissapointed when she decided to show out slums with rusted roof on you tube while addressing the matter, and that is the problem of many african american people " I G N O R A NT"
 
Kuna siku Watu wa Uhamiaji pale airport walimzuia abiria kurudi kwao eti kwa sababu aliingia Tanzania kupitia Namanga kwa hiyo lazima atoke kurudi nchi yake kupitia Namanga! I say nilibaki hoi. Alijaribu kujieleza alipitia Namanga baada ya kutembelea Kenya, kisha akaenda Ngorongoro na kuja Dar es Salaam hadi Zanzibar sasa alikuwa anarudi nyumbani. Wapi bwana, walimgomea. Ndio nikajua Tanzania kuna watu vihiyo sio kawaida - akili ndogo mamlaka makubwa kama baba yao!
Aaaaaaaa......!!!! Wapiiiiiiii.........?????!!!!!
 
Eat Love Migrate ndio YouTube Chanel yake, Nazani video zake zote alizokuwa Tanzania niiziangalia,alienjoy sana Zanzibar,Dar kariakoo,alienda Arusha nazani karatu aliishi Takribani wiki,baadae Kilimanjaro akakutana na Mdada mwingine(Travelling Sista) akawa mwenyeji wake akamtembeza sana alikaa napo siku nyingi.kwa kifupi Mimi nilifatialia video zake maana napenda sana Ndugu zetu wanao hamasisha wausi warudi afrika, alivyozuiwa Airport niliumia sana sana,Nauli Yake ilikufa na hakuna wakum-refund.Kuna maboya wako Airport wanachafua image ya hii nchi,natamani huyo mtu ningemjua apewe hata fundisho maana kama ni nchi yetu huyu Dada kaitangaza sana,watu wengi wamehamasika kuja Tanzania kwa ajiri yake kwa jinsi alivyokuwa anapasifia,maana alienda kuishi hadi kijiji flani huko Arusha.
Nimeona leo kadai atarudi Tanzania kuishi na kufanya biashara,yuko sierra leone kwa sasa
 
Kuna Dada mwingine mmarekani mweusi anaitwa rukiya mcnear anaishi bongo karibia mwaka sasa uhamiaji wamekataa katakata kumpa permit .....inabidi Dada wa watu maskini kila baada ya miezi mitatu atunge safari nchi ya jirani ili agongewe viza ya miezi mitatu.....
Namjua huyo sister,kahamia TZ na familia yake yote!
 
Huyu mwanamke ni juhaa tu. Kuna vitu lazima hakuwa navyo. Watz sio watu wabata kiasi hicho. Je kuna rushwa? Yes ipo. But kama alikuwa na docs sahihi hawawezi kumzuia.
Labda kama huna experience na immigration ya Kibongo, huwa wanamletea figisu wakati kila kitu kipo sawa. Wanasumbua na kuzuia watu makusudi ukiona ni udhia na hautaki usumbufu unajikuta 'umekata' na mambo yote yanakuwa smooth, huwa hawana hata haya jioni wakuwa viti virefu wakijisifia wizi wao.
 
a straight ratchet, throws hissy fit because officials of a small country wouldn't throw flowers on her shady path...

claims this happened to her possibly because they didn't believe she is American, but her nationality was never raised as an issue... she must ignorantly believe that her country gives her special dispensation to have standard aviation rules waived ...

very condescending, lampoons the Tanzanian official for pulling " a stupid book" to look up the applicable transit Visa rules instead of just googling... that right there tells you all you need to know about her intellect. Official rules and laws of international aviation are to be found in books, not online. That's why "the stupid book" is there.

her video purposely begins with a sustained scan of the ramshackle neighborhood of rusty-roofed houses then before she poses right in its foreground in order to shame our country, then hypocritically praises the “sambusas,” the nice people, the anticipated "ancestral land of my mother" in Sierra Leone, which is another third world place where she will see more the same poverty and dilapidation...

of course she dumps on the cheap motel amidst the slums that she chose to stay in, a place which had nothing to do with what happened to her at the airport...totally off point, totally meant to disparage the country's hospitality services only cos she couldn’t satisfy transit visa requirements...

drama queen carried some print-outs of a Visa that was not showing in the system and was properly denied travel, simple as. There is no customs officer in this world who does not know what a transit visa is, don’t believe her one-sided bed time story, please!

Kaka Ahsante kwa kuelewa. Nakubaliana na wewe asilimia zote. Watz wanapenda kuponda kwao sana.
 
Watu wa airport wanapenda kusumbua watu ili wapewe rushwa.

Hususan wakijua wewe ni mgeni na huijui Tanzania.

Hayo mengine mnaleta uzalendo wa kijinga tu.

Hamjaelezea inakuwaje mtu azuiwe kutoka Tanzania kwa sababu hana tiketi ya ndege ya kuunganisha safari kutoka Nigeria kwenda Sierra Leone.

Mnatetea mentality ya ujinga wa "guilty until proven innocent"?

Mnatetea ujinga wa watu wa airport kutaka kuchukua credit card numbers za huyo mwanamke?

Credit card numbers? For real?
 
Bora ninyamaze, hivi vitu huwa ni vya kawaida unless you are not a frequent traveller. Ni kuwa mtu kutoka Nigeria kuja Tanzania hawezi kupata viza on arrival like wise. Usisahau kwa vile kuna miunga inakamatwa na wa west Africa, lazima maofisa wajiridhishe na kujiridhisha ni kufanya delay ya makusudi
mbona alisindikizwa atm na wakapokea dola 60, au na hiyo ni kawaida
 
Yule dada wa kimarekani aliefanyiwa ujinga JNIA na uhamiaji hadi akashindwa kusafiri,amepewa uraia sierra leone,TZ sijui tunakwama wapi!
 
Back
Top Bottom