Naombeni anayeweza kunisaidia afanye ivo, Mimi ni mjasiriali kwa kweli angalau matokeo nayaona , lakin sasa natamani nichukue mkopo ili niweze kujitanua zaidi .
. biashara ina documents zote, tin, leseni , brela , tax cleaarence na parmanent office , pia nina nyumba ipo hatua ya finishing ...