Recent content by Kuveta

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC

    Berbard Membe ndo nani mkuu? Ebu jaribu kusoma vizur ulichoandika before ya ku post hapa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

    Dau angezungumzia jinsi gani Mkapa alipambana kutokomeza ukabila na ukanda katika awamu zake zote mbili za uongozi, basi nina hakika uzi huu ungepata wachangiaji wengi ambao wangempongeza Dr Dau kwa kulizungumzia hilo la ukabila, kwa vile ndugu zetu wengi humu wanachukulia ubaguzi ni ile aina ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uganga wa Mshana Jr. unapofeli; Yanga 1 Simba 0

    Hahaha... Pole mkuu kwa kuukimbiza upepo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uganga wa Mshana Jr. unapofeli; Yanga 1 Simba 0

    Hahahaha... Mtoto mdogo yake nepi... Yanga ni mziki mkubwa ambao watoto wadogo(simba) hawawezi kuucheza
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uganga wa Mshana Jr. unapofeli; Yanga 1 Simba 0

    Mshana na team yake wote miguu juu. Inasemekana simba leo walikuwa wanazulula tu uwanjan
  6. K

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kuangalia TV nyumbani miaka ya 90

    Hahaha.. ki ukweli niliingia mkenge, na changu sikurudishiwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

    Ushaur wako ni mzur ndug, na bila kusita ntaufanyia kaz
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

    Ok kaka nashkur kwa mchango wako
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

    Nauli??? You can't be serious ndug yng
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

    Hahaha.. ok nimekupata bingwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

    Wale niliosikia waliokotwa ndan ya viroba mtoni walikuwa ni nani? Na vp waliokuwa wanalalishwa saa 12 ya jioni na Panya road nao walikuwa ni nani? Usalama hautizami wadhifa wa mtu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

    Sikuzungumzia maendeleo, nimezungumzia usalama ndug yng
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

    Hahaha kumpiga mbongo kizinga ni sawa sawa na kumuomba nyoka miguu aisee. Kuhusu usalama kama unachoongea ni kwel basi ntashuka kuifariji familia
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

    Hahaha... mambosiasa ndio yupi huyo bingwa?
Back
Top Bottom