Heche hajui kiinua mgongo kinatoka na ukubwa wa mshahara, niliambiwa Heche ni msomi wa chuo kwa nini anashindwa kuelewa ishu ndogo kama hii.
Wanajipangia mishahara mikubwa ili waje kujilipa pensheni kubwa daadek!
Sijui kwanini ila nawaza tu, hivi ingekua siku zileeee hao jamaa pembeni wenye Tshirts nyekundu zenye maandishi ya KAT.... wangetoka humo salama kweli? Tumetoka mbali jameni
Haya ndio madhara ya wataalamu na wasomi wetu kukimbilia siasa na kuacha taaluma zao. Ona sasa wanavyozodoana na wanasiasa wasio wasomi. Wangebaki kwenye taaluma zao vyuoni na kwengineko na kuwaacha wanasiasa katika siasa yasingewakuta haya:D
Sijui kwa nini napata shida kidogo. well, labda Nusrat alikuwa na uhakika kuwa atatoka kabla ya zoezi la uteuzi na uwapishwaji wa viti maalum halijaisha😃
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.