Recent content by Kutotomya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni uwezo wa Zitto Kabwe au CHADEMA?

    Katiba inasemaje kuhusu umri wa kugombea urais
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rwakatare Hawezi Kushitakiwa Kwa Ushahidi wa "You Tube!"

    Mi nafikiri polisi wa mkamate huyu bukoba boy akatoe ushahidi mahakamani asaidie ukweli kupatikana haraka
  3. K

    JamiiForums Tanzania CLOUDS FM warusha live clip ya Lwakatare

    Nilisikia viongozi wa chadema wamekaa kikao kutoa tamko imefikia wapi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Jamani toka akamatwe jana haja hojiwa tukapata ukweli wake hata kidogo nina shauku ya kujua hili zengwe la ccm linaishia wapi au na polisi wanahusika?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hodi jamani

    Hivi kwanini membe hakamatwi na polisi au yuko juu ya sheria ila rwakatare amekamatwa haraka kwa nini wakati wote ni watuhumiwa
Back
Top Bottom