Recent content by kusufuria makoko

  1. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Amri Kiemba unamuonaje?

    Kiemba ni bonge la mchambuzi, anazungumza vitu vya kitaalamu ambavyo mchambuzi ambaye hajacheza mpira siyo rahisi kuvifahamu. Hana mbwembwe, anachambua kwa utulivu wa hali ya juu. Clouds wamepatia sana kuwa na huyu mwamba.
  2. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi Vilaza sana Yanga. Hawa wanaiaibisha Club yetu Kongwe

    Kwani Senzo hajatoa kauli?
  3. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

    Free agent kama sikosei
  4. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

    Sana. Neymar na Mbape wanaremba sana. Kulikuwa na goals za kutosha leo.
  5. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

    Ni kweli kwamba Neuer ni hatari sana, lakini pia PSG wanahitaji kuwa na mtu mwenye roho mbaya pale mbele. Leo nimewakumbuka sana Cavan na Ibra.
  6. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania Yanga wameliingiza jina la Morison katika mfumo wa usajili

    Hatari sana mkuu
  7. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania Yanga wameliingiza jina la Morison katika mfumo wa usajili

    Mwenyekiti wa Yanga ni Daktari katika fani gani?
  8. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania Thadei Ole Mushi: Ukuta wa Mirerani unavyomkera jirani

    Hakika kaka mkubwa Wakudadavuwa
  9. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtia Nia ndani ya CCM aliyeshinda ndani ya CCM bila rushwa

    Kwa hiyo na Vunjo yule jamaa amemwaga mpunga mrefu kuliko Kimei!!
  10. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM acheni kutudanganya

    Sana mkuu
  11. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM acheni kutudanganya

    Sure, silipendi hili jina hata kidogo.
  12. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM acheni kutudanganya

    Si mchezo
  13. kusufuria makoko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga

    Kwa hiyo akipigwa chini Shonza anachukua wizara
Back
Top Bottom