Napenda xana vjana wanaojadl mantk name co propaganda xaxa wew ulietoa maana ya ukawa hapo juu inamantk gan au naw n gamba ulietumwa kuharibu ukawa bila hoja za mcng?
Hakuna mwanachadema halisi anaepnga ukawa kwa kuwa kihistoria pale wapnzan waunganapo huwa rahisi kutimiza azma yao ya mabadlko kama ilivyotokea India hvyo ccm wanaogopa na kuanz kutumia watu wao kma wanachadema wazalendo ilhali n wa saliti. Wew c kiongoz wa Chadema kama mtu huyo anajambo muhm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.