Recent content by kushoto kulia

  1. K

    Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    bora aache tu kuwa anatembelea tembelea mara kwa mara maana akirudi safari nyngne atakuta kontena laki mbili hazijalipiwa ushuru
  2. K

    UKAWA mtumieni mama Regina Lowassa kwa namna hii

    hahahahaaa bla kusahau kumkorogea uji
  3. K

    Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

    wale wa kaskazin ndo wataisoma namba cc lake zone zam y2 kula cake ya taifa
  4. K

    Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

    wale wa kaskazin cc lake zone zam y2 kula cake ya taifa
  5. K

    Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    Wewe fikra zako ni za kibinadamu mawazo yke hayako kma wewe unavyofikiria kuwa kulikuwa na haja gani ya YESU kuteswa kwa uwezo wetu wa kibinadamu ni vigumu sana kufafanua hili ila MUNGU yupo na ataendelea kuwepo
  6. K

    Kumbe ni kweli yanga ni tawi la ccm-nimejitoa rasmi kusapoti leo

    siyo tu ukachane jezi nenda kajinyonge kabisa
  7. K

    UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

    mmeanza na mungumtu na mtamaliza na mungumtu na huyo mungumtu wenu atakuwa wa kwanza kufungua dimba la mahakama ya mafisadi baada ya oct 25
  8. K

    Ngumi kali toka nje ya uwanja wa mapambano

    mkuu nimecheka sana kweli hiyo ngumi ya shabiki wa nje(dr) ni noma sna
  9. K

    Dr. Slaa mwanachama pekee CHADEMA aliyekitumikia chama ipasavyo, hana mpizani

    umenena mkuu watu waache uvivu wa kufikiri
  10. K

    Lowassa acha unafiki, onesha kweli kuwa wewe ni mtu wa maamuzi magumu

    ndio afanye maamuzi ya kutueleza richmond ya nani?
  11. K

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    daima giza haliwezi kushinda nuru nchi yetu ilipaswa kuwa na kina slaa kumi tu
  12. K

    Tuwe tayari kuahirisha mabadiliko kuliko kukubali hadaa!

    tuache utani huyu mzee(slaa) yupo makini sana sana kweli nimemkubali
  13. K

    Mapokezi ya Magufuli

    kumchagua babu manywele itakuwa makosa makubwa sna kma wamarekani
  14. K

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    hakika mkuu watz watakuwa vichwa maji kma watampa kura jamaa ndani ya mwaka mmoja na nusu tu watalia na kusaga meno na nchi itageuka kuwa ugiriki ya pili...hatakuwepo wa kumlaumu m2 muda huo cuz mliyataka wenyewe
  15. K

    Naiomba serikali siku yakumuapisha Dr Magufuli iwe mapumziko

    nahic population kubwa ya wananchi we2 ni mashabik pacpo kupima wanachokishabia kitawaingiza shimon na wasijue la kufanya tena...huyu jamaa(lowasa) hana karama ya uongozi kabisa na zaidi huyu ni tapeli hasa...na cku zte nilisema chama chochote kitakachompa ridhaa kuwa mgombea mim nitakuwa...
Back
Top Bottom