Ngumi kali toka nje ya uwanja wa mapambano

Ngumi kali toka nje ya uwanja wa mapambano

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,966
Hii toka FB:

Katibu mkuu wa CHADEMA aliyebwaga manyaga Dk Willbroad Slaa, anatarajia kuzunguka nchi nzima kuwaaga wana demokrasia nchini.

Bila kuathiri ratiba ya tume ya taifa ya uchaguzi, Slaa ataanzia maeneo yote ambako wagombea wamepita na kuzungumza na wananchi wapenda demokrasia.

Ngumi.jpg

Mwenye macho haambiwi tazama. Asiye na mwana abebe jiwe.

Mwenye
macho haambiwi tazama. Asiye na mwana abebe jiwe
11947455_10153566902849339_8241098145903594035_n.jpg
 
Tarehe 25/10/2015, Mafisadi watalia na kusaga meno kwa kutoamini kitachotokea!
 
Hii toka FB:

Katibu mkuu wa CHADEMA aliyebwaga manyaga Dk Willbroad Slaa, anatarajia kuzunguka nchi nzima kuwaaga wana demokrasia nchini.

Bila kuathiri ratiba ya tume ya taifa ya uchaguzi, Slaa ataanzia maeneo yote ambako wagombea wamepita na kuzungumza na wananchi wapenda demokrasia.

View attachment 283303

Mwenye macho haambiwi tazama. Asiye na mwana abebe jiwe.

mkuu nimecheka sana kweli hiyo ngumi ya shabiki wa nje(dr) ni noma sna
 
Huyu mzee atachukiwa sana na jamii ya kitanzania. Bora akae zake nyumbani kuliko kufanya haya anayotaka kuyafanya. Na akizunguka atakuwa anaipaisha ukawa bila kujijua.
 
Hii toka FB:

Katibu mkuu wa CHADEMA aliyebwaga manyaga Dk Willbroad Slaa, anatarajia kuzunguka nchi nzima kuwaaga wana demokrasia nchini.

Bila kuathiri ratiba ya tume ya taifa ya uchaguzi, Slaa ataanzia maeneo yote ambako wagombea wamepita na kuzungumza na wananchi wapenda demokrasia.

View attachment 283303

Mwenye macho haambiwi tazama. Asiye na mwana abebe jiwe.

Tunasimamia misingi. Ukweli lazima usemwe! Watanzania watasikiliza ya kuambiwa, watachanganya na zao kisa watafanya maamuzi sahihi come 25th october! Karibu uwanjani doc
 
Eee Mungu wa Mbinguni TUNAKUOMBA utuepushe na haya yanayotokea sasa....

Eee mungu kweli hawa watu walikuwa na nia njema nasi kweli?????????????

Ni kwanini ee baba walituthibitishia kuwa wanatujali lakini sasa wameonjeshwa utamu wa ngano kidogo sasa wanataka pipa lote.

Ni kweli baba tunajua hela ilimuuza yesu lakini baba si ni yuda alijuta sana baada ya usaliti????????????????

Tunakuomba uwapige upofu woote wanaopinga mabadiliko na wooote wanaoyapuuza...........

Kwani BABA sisi tumekukosea nini sisi wanao hadi TUISHI NAMNA HII????????

1. GESI NI BEI JUU NCHINI

2. ADA SHULENI HAZIFAI HATA KWENYE PUBLIC SCHOOL TU KUNA WASIOWEZA KULIPA.

3. MAFUTA YOOOOOTE BABA... YA TAA, YA PETROLI, YA KULA N.K BEI NI JUU

4. KODI BABA TUNALIPA KWA KILA BIDHAA.... Yaani mfano baba yetu.. KAMA UNAKUNYWA MAJI ASUBUHI LT 1 UTAILIPIA NA KODI, UKINYWA JIONI BABA KODI NI ILEILE.

5. BABA HAPA NCHINI HATA ULIMEJE SOKO HALIPO NA KAMA LIPO BEI NI YA MKULIMA KUSHIKIWA CHINI NA KUNA WAKATI BABA WANAKOPWA NA HAWALIPWI KWA WAKATI NA WANAPOLIPWA WANALIPWA KIDOGO KIDOGO MPAKA HAWAONI FAIDA YA MAZAO YAO BABA.

6. BABA VIWANDA VYOTE VIMEKUFA BABA, MKOLONI ALIACHA VIWANDA KIBAO NA VINGINE VILIJENGWA NA JK WA KWANZA BABA ILA SASA HAVIPO. KAMA SIO BODABODA HIZI BABA BASI AJIRA KUU INGEKUWA WIZI NA UKABAJI. ILA TUNAMSHUKURU MTUMISHI WAKO MCHINA BABA.... AMETULETEA BODABODA AMBAZO HATA GRADUATE SAS ZIMEWAKOMBOA.

7. BABA MAHOSPITALINI SIKU HIZI UNAPIMWA TU, DAWA UTAJUA MWENYEWE????? NATAKA KULIA NIKIFIKA HAPA BABA ILA KUNA AMBAO WAKIUGUA TU BABA WANAPANDA MAPIPA YANAYOPAA YA MZUNGU, WANAENDA ZAO NJE KUTIBIWA.

8. HIVI BABA ULIKOSEA ULIPOWEKA MADINI AINA ZOTE TANZANIA??? TENA MENGINE YANAPATIKANA HAPA KWETU TU BABA. LAKINI HAKUNA HATA KIWANDA KIMOJA CHA KWETU KINACHOUZA BIDHAA ZILIZOKAMILIKA ZA MADINI YETU DUNIANI....

9. BABA NAONA AIBU KUSEMA KUWA TUNA TEMBO NA VIFARU TANZANIA. TUONEE HURUMA KWASABABU TUMEWAMALIZA WOTE WOTE WOTE. NA WENGINE WANAKWEA HAYO MAPIPA YANAYOPAA KABISA KWENDA NJE.

10. BABA, MTU WA CHINI YAANI TUNAOITWA WA KAWAIDA NCHI HII HATUNA LETU... SUKARI BABA, MIWA IPO TPC KIBAO, KILOMBERO NA KAGERA LAKINI KG YA SUKARI HAAAAAAAA.....

KWAHIYO TUNAKUOMBA UFUNGUE MIOYO NA MACHO YA WAPENDA MAENDELEO NA UFUNGE YA WASIOTAKA ILI IKIFIKA SIKU BASI MZEE WETU EDWARD LOWASSA APITE BABA.

SI NI SAULI ALIUWA SANA WATUMISHI WAKO NA UKAMUONGOA AKAITWA PAULO NA NDIYE MTUME ALIYEFANYA KAZI KUBWA SANA KUKUTANGAZA. SASA KAMA KUNA DHAMBI YEYOTE IMEFANYWA NA MKOMBOZI WETU HUYU WA KIZAZI KIPYA BASI TWAKUOMBA UISAFISHE NA UKAMUWEKE JUU NA WABAYA WAKE WOOOOTE WASHUSHE KAMA ULIVYOWAPANDISHA.

NA WOTE NAOMBA TUSEME AMEEEEN
.
Mwenyekiti ndo kiongozi wa kupinga mabadiliko...hii ilijiweka wazi pale alipopokea team chafu ya ccm kuongoza jahazi
 
Nec ichukue hatua yeye kama anahitaji kuaga watanzania aje baada ya uchaguz kama alivyofanya mwaka 2010
 
Huyu mzee atachukiwa sana na jamii ya kitanzania. Bora akae zake nyumbani kuliko kufanya haya anayotaka kuyafanya. Na akizunguka atakuwa anaipaisha ukawa bila kujijua.

Mashabiki kama wewe mtamchukia lakini wafuatiliji WA mambo na wasomi wasiopenda ushabiki watafika vizuri
 
Nec ichukue hatua yeye kama anahitaji kuaga watanzania aje baada ya uchaguz kama alivyofanya mwaka 2010
Kwani hana haki ya kuzunguka na kuongea kikatiba?
 
Huyu mzee atachukiwa sana na jamii ya kitanzania. Bora akae zake nyumbani kuliko kufanya haya anayotaka kuyafanya. Na akizunguka atakuwa anaipaisha ukawa bila kujijua.
Si ndio sasa mfurahi maana anawapaisha.
 
Tunasimamia misingi. Ukweli lazima usemwe! Watanzania watasikiliza ya kuambiwa, watachanganya na zao kisa watafanya maamuzi sahihi come 25th october! Karibu uwanjani doc

Mnasimamia msingi na ukweli lazima usemwe,CCM na MAgufuli wenu tuambieni walioiba pesa za escrow kwa Magunia na Sandalusi pale STANBIC bank mchana kweupe zaidi ya 7O billion ni kina nani?!

Wezi wa Kagoda ni kina nani??!!

Aliyewapa pasport na viza twiga,swala,nyumbu na wanyama wengine zaidi ya 120 pale KIA wakapanda ndege kwenda Qatar ni kina nani?!

Ile list ya wauza unga alionao Kikwete ni kina nani? Au karatasi ya list imeliwa na panya wa Ikulu?!

List ya wauza unga nayo vp aliyosema Kikwete anayo?! Au karatasi ilisahaulika kwenye suti ikafuliwa na dobi/laundry??!
 
Anawaaga kama nani-very stupid it isnt possible they will ........him
 
Anawaaga kama nani-very stupid it isnt possible they will ........him
Tulia daktari achome vizuri sindano na dawa iingie vizuri. Mpaka kufika 25 somo utakuwa umelielewa na utakuwa umefanya maamuzi.
 
Nec ichukue hatua yeye kama anahitaji kuaga watanzania aje baada ya uchaguz kama alivyofanya mwaka 2010

Hapo sasa, anaaga wananchi yeye kama nani? Si ameshasema ameacha siasa? Au anaenda kuwafundisha kilimo?
Hapa ndio tutajenga imani na NEC.
 
Back
Top Bottom