Recent content by kushandwisdom

  1. kushandwisdom

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mvivu

    Mwanafunzi mmoja aliambiwa na mwalimu wake wa kiswahili, atunge sentensi yenye neno sukari. Mwalimu : Mussa , tunga sentensi yenye neno sukari. Mwanafunzi : Jana nilikunywa chai na vitumbua. Mwalimu : Neno sukari liko wapi katika hiyo sentensi ? Mwanafunzi : Liko katika sukari . Wanafunzi ...
  2. kushandwisdom

    JamiiForums Tanzania Big results now

    Katika kuakikisha Tanzania inafanikisha malengo yake ya kutoa elimu bora kwa wananchi wake , ni jambo gani linafaa kurekebishwa ili vijana waweze kupata elimu ya kuwakomboa kutoka kwenye utumwa wa kusubiri ajira za serikali ????
  3. kushandwisdom

    JamiiForums Tanzania urafiki wa karibu na ex wa rafiki yangu

    ebu nisaidie kupima hapo:A S-confused1: mi naona nyota nyota tu
  4. kushandwisdom

    JamiiForums Tanzania urafiki wa karibu na ex wa rafiki yangu

    ni hivi nina urafiki wa karibu sana na mdada ambaye alikuwa gf wa rafiki yangu, ila walibreak miaka miwili iliyopita , je kuna uhalali wa mm kuwa karibu na huyo dada ????
  5. kushandwisdom

    JamiiForums Tanzania urafiki wa karibu na ex wa rafiki yangu

    nahisi haujanielewa king'asti
  6. kushandwisdom

    JamiiForums Tanzania urafiki wa karibu na ex wa rafiki yangu

    Habarini za leo wana jamii, ningependa kujua kama ni busara kwa mtoto wa kiume kuwa na urafiki wa karibu na msichana ambaye alikuwa akidate na rafiki yake
Back
Top Bottom