Recent content by Kus Kas Pole

  1. K

    JamiiForums Tanzania Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Hata sisi walimu pia hatupendi kusoma, ukipiga kozi yako moja basi umemaliza, ualimu wa mpira ni kusoma kila uchwao maana mambo ya technology yamekuja badili vitu vingi. Safari bado ndefu ila kila mmoja wetu afanye anachoweza kusaidia kusukuma hili swala tunaweza sogea kiasi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Hii ni project kwa wapenda soka, au kama na ww mdau upo vzur kuwekeza tafuta qualified coaches tukuze mpira wa bongo. Mwanzo utatumia sana pesa yako ila baada ya muda utarudisha gharama zako na taifa litafaidika pia.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Kwenye hilo shaka ondoa, kila mtoto ana ujazo wake kulika na umri wake. Elimu ya coaching ni kweli changamoto kwa bongo na Afrika nzima. Ila tutafika tu, saiv makocha vijana wameanza kuwa wengi.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Unapata mkuu, unachofanya ni kumix talented who can pay and ambao hawez kulipa. Na sisi tuna project za mtaan ambazo tuna train watoto wa mtaan ambao hawez kuafford viwanja kama ivyo. Tunafanya nao session za after school na haijalishi awe anajua sana au kawaida lengo apate kwanza basics...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Cha muhimu ni malengo tu, changamoto tu ni kwamba Tanzania miundombinu shida, viwanja vizur ni gharama sana.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Unachosema kipo sahihi mkuu, kwa US gharama ilikua inaenda mpaka USD 100k, ila kama una nafasi nakukaribisha Masaki Sports park, ukija utaweza kujiridhisha na kuelewa vizuri kuhusu hii project. Tukabadilishana na maono mbali mbali kuhusu soka.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Pitch ni artificial kwa io gharama za kukodi uwanja zipo juu. Ila ni mazingira sahihi sana kumuandaa mtoto kisoka.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Ni kweli mkuu, ndo mda na sisi tupambane na haya mambo badae tuwe tunaangalia Taifa Stars kwenye international tournaments ikifanya vizuri.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Habari wana Jamii Forums. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Habari wana Jamii Forum. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba ifuatayo...
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kusomea urefa

    Kwa upande wa soka/football nenda Makao makuu ya TFF pale Karume. Ukifika pale kuna ofisi za Chama cha Marefa Tanzania watakupa utaratibu wote. Usiende mapema sana maana zinachelewa kufunguliwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba connection kupata suppliers kutoka Dubai

    Mkuu unawezaje kufanya manunuzi 1688 maana naona ni kichina tu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Mkuu shusha vitu hapa tupate muongozo wote.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

    Mkuu unaweza shusha nondo kwenye io biashara ya kukopesha. Shukrani
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    kuna extra cost juu ya hili?
Back
Top Bottom