Recent content by Kurzweil

 1. Kurzweil

  NIGERIA: Serikali yatumia mitandao ya simu kuwafuatilia Wanahabari na kuwakamata

  Waandishi wa Habari wa Gazeti la Premium Times, Samuel Ogundipe na Azeezat Adedigba wameeleza kuwa wao mara kwa mara huwasiliana kwa njia ya simu - Hawakuwa na fikra kuwa mawasiliano yao kuhusu masuala ya kazi yanarekodiwa na watoa huduma na kumbukumbu zao kutunzwa - Mnamo tarehe 9 Agosti, 2018...
 2. Kurzweil

  Kizimbani kwa kughushi mkataba ili kupata zabuni ya kujenga barabara

  Serikali imewafikisha mahakamani wakurugenzi watatu wa Kampuni ya Civmark Ltd na wakili mmoja kwa tuhuma za kughushi mkataba kwa lengo la kupata zabuni ya kujenga barabara ya Manispaa ya Bukoba kwa kiwango cha lami. Washtakiwa hao walifikishwa jana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya...
 3. Kurzweil

  Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

  Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani) Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na...
 4. Kurzweil

  Mambo ya kuzingatia unapovinjari kwenye Internet ili kulinda usalama wako

  Wakati ukivinjari kwenye mtandao wa inteneti unapotembelea tovuti mbalimbali au #MitandaoYaijamii unapaswa kuwa mwangalifu na kutunza usalama wako dhidi ya watu wenye nia ovu: Kumbuka mambo yafuatayo ili kujihakikishia usalama wako Usifungue kiunganishi au barua pepe kutoka kwa mtu...
 5. Kurzweil

  Mwendesha bodaboda: Mwakyembe tulikuwa nae mwanzo mwisho mpaka rafiki yangu anafariki

  Katika pita pita zangu nimekutana na hii kuhusu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
 6. Kurzweil

  Fursa kwa vijana kutoka Umoja wa Mataifa

  Ndio mkuu huko unaenda kufungua akili zaidi na koneksheni za fursa zaidi
 7. Kurzweil

  Fursa kwa vijana kutoka Umoja wa Mataifa

  TANZANIA INTERNATIONAL MODEL UNITED NATION(TIMUN) Tanzania International Model United Nation Ni mkutano wa vijana wa Umoja wa mataifa unaoandaliwa Kila mwaka na Asasi ya vijana ya Umoja wa mataifa Youth of United Nation association (YUNA) Ni mkutano unafanyika zaidi ya miongo miwili Sasa Kila...
 8. Kurzweil

  TAKUKURU Ilala yafungua mashauri 27 Mahakamani

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Ilala imesema imefungua mashauri 27 mahakamani yanayohusisha rushwa na ubadhirifu wa mali za umma yakiwamo mashauri mawili yanayowahusu wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Akitoa ripoti ya miezi mitatu Oktoba hadi Desemba mwaka...
 9. Kurzweil

  Hatimaye Bunge la Uingereza laupitisha mpango wa kujitoa katika Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ulioletwa na Waziri Mkuu, Boris Johnson

  UK prime minister succeeded where his predecessor repeatedly failed; getting Brexit legislation through Commons. The United Kingdom now has one foot out of the European Union's door after Prime Minister Boris Johnson's Brexit Bill was endorsed by the House of Commons on Thursday. Succeeding...
 10. Kurzweil

  Pep Guardiola asema kamwe hawezi kuifundisha Manchester United

  Kocha huyo wa Manchester City amesema kuwa ni bora aende likizo ya kufundisha mpira kuliko kukubali kuifundisha Manchester United > Guardiola alikuwa kwenye rada ya Manchester United kwa ajili ya kurithi mikoba ya Sir. Alex Ferguson lakini aliamua kujiunga na Bayern Munich > Ameongeza kuwa...
 11. Kurzweil

  Trump aipiga mkwara mzito Iran

  Donald Trump amesema kuwa Marekani imetumia Dola Trillioni 2 kwa ajili ya Vifaa vya Kijeshi. Na kuongeza kuwa wao ni bora zaidi Duniani Ameonya kuwa iwapo Iran itashambulia kituo chochote cha Kijeshi cha Marekani au Raia yeyote wa Marekani basi hawatasita kutumia vifaa hivyo
 12. Kurzweil

  Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Musuguri afikisha miaka 100. Afanya Ibada maalum ya shukrani

  Butiama. Mkuu wa Majeshi mstaafu nchini Tanzania, Jenerali David Musuguri maarufu ‘Chakaza’ ametimiza umri wa karne moja tangu alipozaliwa Januari 4, 1920. Hafla ya kuadhimisha miaka 100 ya Jenerali Msuguli zinafanyika leo Jumamosi Januari 4, 2020 nyumbani kwake kijiji cha Butiama mkoani Mara...
 13. Kurzweil

  MAREKANI: Jaji aamuru Kampuni ya Picha za ngono 'Pornography' kuwalipa Dola Milioni 13 Wasichana 22

  A California judge has tentatively ordered a pornography company to pay $13 million to 22 young women, finding that they were tricked into performing in videos that threw their lives off course and led several to attempt suicide. The ruling Thursday followed a years-long legal battle waged by...
 14. Kurzweil

  Je, unajua utaratibu wa kutekeleza hukumu ya kifo? Inaweza kubadilishwa kwa Wajawazito

  26.-(1) Pale mtu yeyote amehukumiwa kifo, hukumu hiyo itaelekeza kwamba mtu huyo anyongwe kwa kitanzi mpaka afe: Isipokuwa kwamba, endapo mwanamke aliyehukumiwa adhabu ya kifo atakuwa mjamzito, mahakama itachunguza ukweli huo na, endapo mahakama itajiridhisha kuwa ni mjamzito adhabu...
Top