Unaakili ndogo mithiri ya punje ya haladini,nenda kafungue kamusi ya kiswahiri upate tafsili ya ufsadi kisha ujiulize mwenyewe je mfanyabiashara was kitanzania ni haramu kuwekeza nje ya nchi?je kama mfanyabiashara anewekeza Dubai,wingereza,Uganda,Kenya,south Africa na kwingine ni dhambi kumiliki...