Hahaha unanitamanisha mkuu mimi nina Phantom Z, naitamani Phantom 6+,jamaa wako vzur tatzo watu tumekalili na kuamini ukiwa na Samsung au iPhone wewe ndo mjanja wakati ni mateso tuu mda wote power bank
Nenda ofisi zao pale, samora nhc house, Kama bado ipo kwenye warranty wakutengenezee, hakuna kifaa cha electronic kilicho perfect, cwez acha kutumia tecno. I'm a die hard fan of them
Naomba kuuliza gharama za upasuaji wa Mifupa MOI ikoje Kuna bro wangu alitibiwa kienyeji sasa mfupa unaunga vibaya, hivyo anapaswa kuvunjwa na kuungwa upya
Habari za weekend wanajamvi, mi ni network administrator katika taasisi ya serikali,napata changamoto ya network& bandwidth monitoring, nimejaribu PRTG na Nagios ambazo ni free ila changamoto ni setup yake. Mwenye uelelewa anisaidie
Hiyo ni mipango ya miaka 5,walau ukubali hata juhudi za mipango hiyo wakati resources are mobilized, huo ndo uungwana, we mwenyewe na familia yako kuna mipango kibao inakwama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.