Recent content by kupukupu

  1. kupukupu

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Maandamano kesho yanaendelea

    Logically huu ni uquma, how comes maandamano hayana kiongozi Wala ajenda? Siipendi CCM pamoja na viongozi wote wanaotokana na hicho chama, Ila tunafanya ujinga sana kuhalalisha kile maCCM walichofanya Oct 29, kiongozi wa maandamano ni nani ajenda yetu ni ipi ila tunaiwasilishaje? Huu UNGESE...
  2. kupukupu

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Samia na sababu za 'kutapatapa'; Ooh, nchi jirani! Ooh, walilipwa!

    Hatuna rais hapo mzee, rais unaenda kuhutubia mamilioni ya wananchi wako unashindwa kujipanga kweli?
  3. kupukupu

    JamiiForums Tanzania Unafanya kazi masaa mangapi kwa siku ?

    11 hours
  4. kupukupu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Kuitetemesha Mwanza Mjini Leo. Hotuba yake kuisimamisha Nchi

    Just imagine huyu ni mwanaume kama Mimi, anaekulomba anajutia sana
  5. kupukupu

    JamiiForums Tanzania Dar: Wananchi zaidi ya Thelathini wadai kutapeliwa zaidi ya Milioni 500 na “Hope Vicoba”

    Bob Unatumia mda mrefu kuandika, ila unaandika hovyo hovyo sana. Kuandika vizuri kunavutia wasomaji
  6. kupukupu

    JamiiForums Tanzania Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

    Jamaa wanastory Hadi sio poa, Tena unakuta wamekupigia asubuhi mda wa kazi, then wanataka muongee zaidi ya dk 7 Ufala ule.
  7. kupukupu

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Alinanuswe mwakubali. NJOSS (2011-2013)
  8. kupukupu

    JamiiForums Tanzania Lissu ni mpango wa Mwenyezi Mungu

    Mmeanza kuleta udini kwenye mambo ya msingi. Puuumbavu sana
  9. kupukupu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imfukuze Lissu sasa

    Yani lissu afukuzwe kwanza, ndo badae uje kutupa sababu za kwann amefukuzwa ? Kuna utofauti gan kati ya kichwa chako na tikiti?
  10. kupukupu

    JamiiForums Tanzania Ukristo umejengwa juu ya msingi wa Roman Catholic. Ipo Dominant kwa zaidi ya miaka 2000

    Very logical, hizi historical churches, pamoja na hizi makanisa za akina mwamposa na wenzake wanahisi wao ndo wameanza kumjua MUNGU, Catholic is over everything kuhusu Imani ya kikristo pamoja na uislamu
  11. kupukupu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ghafla anaanza kuniita "Mkuu"

    Sasa hapo shida Nini? Niamini mm shida unayo ww kuzingatia vitu vya kawaida saana.
  12. kupukupu

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

    Mwezi wa 5 nilikuwepo hapo, kuna domitories njoss zilikuwa zinaitwa mabanda ya njiwa (ghorofa) nilizikuta zimeboreshwa Sana Kimsingi shule inapendeza Sana kwa sasa
Back
Top Bottom