Recent content by kupelwa

  1. kupelwa

    Israel yashutumiwa kwa shambulizi Syria

    Kashindwa vita ya ukraine aje amweze muisraiel ,ni maoni yako usiidhanie Israeil kirahisi
  2. kupelwa

    PreGE2025 Tuna upinzani dhaifu. Nilitarajia Nape Nnauye na aliyekuwa DC Longido wangefikishwa Mahakamani

    Kuna fulsa ya kufungua kesi mahama kuu almradi uwe na ushahidi unaoyosheleza. Ni kama kesi ya afande Fatuma wa Dodoma ilivyofunguliwa ,na kuandikiwa hati ya kimahakama kukamatwa Tatizo lilipo wakishindwa hizo kesi maanake CCM na serikali itakuwa imevuliwa nguo. Kwahiyo itaegemea kwa watoa haki...
  3. kupelwa

    Maswali 2 ya Luhanga Mpina kwa Raisi Samia

    Kuna ombwe la uongozi,uongozi imekuwa dhana ya uchawa na uchawi pale ofisi kuu
  4. kupelwa

    Kwanini awamu hii umeme unakatika sana?

    Waziri wa nishati anafahamiana na rais,hawezi ulizwa kitu walikuwa wizara moja mika ya nyuma
  5. kupelwa

    Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

    Acha kusifia uovu,pensa mema ndugu yangu Wakolosai 3 8 Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. 1 Petro 2 1 Basi, wekeni mbali uovu wote na hila yote, na unafiki na husuda na masingizio yote. 12 Mwe na mwenendo mzuri kati...
  6. kupelwa

    Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

    Najua wewe unazungumza bila kujua haki ya kuishi na maisha kwa ujumla.ulipo sidhani kama hata hiyo 10 milion unayo. Mwingira kachomewa mali ya 10 bilion ,ulitaka aunamaze?katishiwa kuuawa ulitaka anyamaze,anaona aliyefichua anauliwa yeye akae kimya,vipi wewe? Inawezekana serikali ikaanza...
  7. kupelwa

    Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Wao hawaji na proposal,wewe ndiye unaandika proposal nn kifanyike,ni jukumu lako kuwaelekeza wawekeze wapi kwenye kipaumbele ili kusaidia nchi yetu,si kweli wao ndiyo walioshinikiza sema ss yuliomba daraja la hivyo nao wakalibali
  8. kupelwa

    Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Uchambuzi wako si sahihi,uwekwzaji wa kijamii,vyema ukafanyika kwa matinki ya kioaumbele kusaidia walio wengi nankuonua uchumi kwa walio wengi ili kuondoa umasikini. Kusema tusiwekeze hiyo si hoja ya busara. Tujikite kuisaidia nchi kwa mawazo chanya yenye busara kwa nyanja mbalimbali ikiwemo...
  9. kupelwa

    Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Hoja si kuwepo,maana ni mali ya watanzania wote,hoja yake kuwa kama taifa changa,vyema kuzingatia vipaumbele vya miradi ya kipaumbele ya walio wengi kwanza badala ya kuwana uoendeleo kimatabaka. Tanzania yetu usambazaji maji ni 20% tu na hi ipo mijini vijijini hakuna maji,sababu bajeti yetu ni...
  10. kupelwa

    Treni ya Moshi yaongezewa mabehewa, yasafirisha abiria 1500 kwa safari moja ya Moshi - Arusha!

    Hata hivyo wajibu wake si kusigiwa bali kuwatumikia watanzania kuwa na maisha bora,alichofanya ndo mamlaka yake na wajibu wake aliouapa kuomba kuaminiwa kusaidia watanzania
  11. kupelwa

    Treni ya Moshi yaongezewa mabehewa, yasafirisha abiria 1500 kwa safari moja ya Moshi - Arusha!

    Ukifanya jema ,pia usikasirike kuambiwa makosa yako kufanya jema ni wajibu kimadaraka na katiba ,na pia kusemwa na kuwajibishwa na mamlaka hiyohiyo inaelekeza hivyo maana madaraka na mamlaka ni yaumma japo watawala sikuzote wai kusemwa hapana
  12. kupelwa

    CHADEMA kama nyie ni watu wema mje mkanushe maneno haya ya Mh. Mbowe

    Kabisa nataka kujua kafanikiwa namna gani
  13. kupelwa

    CHADEMA kama nyie ni watu wema mje mkanushe maneno haya ya Mh. Mbowe

    Propagada huwa kuna video,mahita igp mstaafu ailiambiwa na watawala aseme propaganda hiyo,ikawa ya wakati huo na ikapita, Henry kileo naye alikuwa na keai ya ugaidi Tabora imetungwa na akina mwigulu chemba ucjaguzi wa igunga,nayo ilikosa ushahidi ifafutwa ya Rwakatare enzi hiyo akiwa mkurugenzi...
  14. kupelwa

    CHADEMA kama nyie ni watu wema mje mkanushe maneno haya ya Mh. Mbowe

    Bila viongozi wa chadema mm naweza kukujibu,swali hayo yaliyotajwa yalifanyika? Acha propaganda dhaifu hata IGP mmoja simtaji kwa sasa ni nsitaafy naye aliitaja CUF imeingiza makitena ya mapaga na majambia kufanya fujo,ulipofanyika uchunguzi hakukuwepi majambia mpka leo ilibakia hadhithi. Hizo...
Back
Top Bottom