Blackafrica
Senior Member
- Jun 26, 2021
- 140
- 401
Hili ni swali fikilishi ambalo unaweza kujiuliza mwananchi, maana hii sasa ni too much, hivi serikali imeshajitokeza na kusema sababu zinazosababisha umeme kukatika mara kwa mara iwe ni usiku iwe ni mchana haiwezi kupita zaidi ya siku mbili umeme usikatike very sad, hii nchi wananchi mazuzu sana tumeridhika nahisi kukatika kwa umeme huku kila wakati