Darajani barabara ya Bp inakuwaga na foleni jioni wanaita njia moja,na ukimaliza daraja upande wa kigamboni njia mbaya mno mbali na hapo sijaona shida nyingine ya kupita darajani
Kama vile ana bifu na wananchi aisee, hivi usipoingia kwenye mitandao ukapiga kimya ukafanya majukumu yako ya mitandaoni utayajuaje, aendelee na Tanzania ya viwanda
Kweli ww muoga tunajenga taifa la watu waoga Bila kuhoji tutapelekwa sana, go Nape kwenye ukweli simamia ukweli [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hao ccm wametimiza ahadi gani kwa wananchi? Inshu ya bashite hadi ccm wenyewe inawakera tena ndiyo wanaongoza kwa kuhoji ila kwa kificho wanatetea tonge, Nchi ya matukio hii tena yanaanzia ccm mengi
Huyu kibonde asitafute bifu na gwajima kabisa bora anyamaze na aombe gwajima asimsikie Labda anataka kiki kutoka kwa gwajima, vijana wa siku Hizi wanaita kiki na atapata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.