Recent content by kuntakyusa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

    Mkuu mimi ni kama wewe,nina miaka 12 sijaumwa zaidi ya mafua.Mkuu nina wiki mbili nipo kitandani.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Toa sababu 2 au 3

    Kitanda changu huwa nakitumia kulala na kuamka
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vifo vingine Bwana!!

    Marehemu alikuwa mchaga wa machame
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Mbuyuni Tegeta

    Tetesi tulizozisikia ni kwamba dereva alinyonya viroba maeneo ya kwa ndevu ni kweli maana nilikuwepo eneo la tukio kuna ukweli wowote?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Mbuyuni Tegeta

    Tatizo dereva alinyonya viroba vya kutosha na mabangi.Viroba vinatumaliza.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Obama Ashambuliwa, Aitwa Nyani Mwafrika mshenzi, aambiwa arudi porini...!

    Waishambulie tu,maana hako kanyoa kiduku kenye laana ya mjombaake kana dharau sana.Inamaana kanamwambia Obama ni nyani arudi porini yaani Africa kwa manyani wenzake ambao ni sisi Waafrika.Then kuna mafala humu yanasupport us..ng. wamnyoa kiduku kosa obama amesupport ushoga fck em all...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Pesa ndio kila kitu kweli?

    Si kweli,pesa ni pesa,Great thinkers ni great thinkers.There for money is not a Great thinker.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Davido Mbona wa kawaida

    Ni ile rafiki/mke ya dushelele
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

    Stimu za mjani zimeshakupenya
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hii staili ya kujibu maswali inakera!!

    Mjibu nataka kufua nguo zangu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mambo....

    naomba 0712
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hatimae siri ya muda mrefu imevuja!

    Better to the promised land
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa mmakonde

    Nimekusoma mkuu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa mmakonde

    Mke mshauri na msaidizi ktk maisha.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa mmakonde

    Habari za wikiend wana jf.Kijana mwenzenu nataka niuage ukapera.Mchumba wangu ni mmakonde nachohitaji ni ushauri na tabia za hili kabila la wamakonde.
Back
Top Bottom