Ajali ya gari Mbuyuni Tegeta

Ajali ya gari Mbuyuni Tegeta

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,713
Watu 2 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Bagamoyo kwenda Dsm kuacha njia na kugonga mti kisha kupinduka ktk eneo la Mbuyuni -Tegeta.

Source: RADIO1 STEREO
 
Tatizo dereva alinyonya viroba vya kutosha na mabangi.Viroba vinatumaliza.
 
sheria ichkue mkondo wake......hapo ulevi umehusika 99.9%
 
Hizi taarifa za ajali mpaka tumevimbiwa sana! Madereva wamegeuka mawakala wa vifo kila mahali nchini.
 
Yaani hii ni hatari kila kukicha ni ajali tu inatia huruma sana
 
Tatizo dereva alinyonya viroba vya kutosha na mabangi.Viroba vinatumaliza.

Njie wengine inaoneka hamjawahi hata kuendesha baiskeli, magari yana matatizo mengi, kabla ya kukimbilia kusema dereva alikuwa amelewa sio sawa, mfano kuna kitu kinaitwa strellig Road au tyroad hand ikikatika hata awe dereva wa Ikulu hawezi izuia gari isipoteze ulekeo
 
Watu 2 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Bagamoyo kwenda Dsm kuacha njia na kugonga mti kisha kupinduka ktk eneo la Mbuyuni -Tegeta.

Source: RADIO1 STEREO
pole zao wale wote waliokuwa wanawategemea hawa marehemu...
 
Eneo hatarishi sana lile...

Mungu awape afya majeruhi wote...
 
Tetesi tulizozisikia ni kwamba dereva alinyonya viroba maeneo ya kwa ndevu ni kweli maana nilikuwepo eneo la tukio kuna ukweli wowote?

Kwakweli sikumfatilia kwavile nilikua siti za kati nanikawa bize na simu ila toka mwanzo mwendo wake haukua mzuri
 
Back
Top Bottom