Recent content by kuntaa

  1. K

    Nataka kumuacha mke wangu

    Binafsi sikushauri umuache mkeo kwanza inakupasa uelewe kwamba mwanamke anapokuwa mjamzito siku zote haswa anapokuwa anakaribia kujifungua huwa wanakuwa na hasira sana hilo lak wanza ulielewe na hapo anapomjibu mbovu Mama yako jua sio akili yake zile ni hasira nakueleza hivi hata mimi binafsi...
  2. K

    Watu wanne wahukumiwa Kifo kwa kumuua Albino

    tena natamani wangenipa hilo dili niwanyonge mimi mbona wangefurahi
  3. K

    Kwanini RED BRIGADE Haizinduliwi Moshi na Arusha

    ni kweli kabisa inahitajika wananchi tuwe macho kwamaana hawa jamaa hawana nia njema na wao walishasema kuwa watahakikisha nchi hii haitawaliki na ndo utakuwa wanawalisha sumu ili waje kuwa magaidi wa baadae mwisho wa siku nyie mnao wapa support ndo mtakuwa wa kwanza kuathirika
Back
Top Bottom