Recent content by Kuni vunyenge

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF ahusishwa kupokea rushwa ya mamilioni kutoka CAF. Mwenyewe akana tuhuma hizo

    Wacheni majungu yenu bana, huyo jamaa ni jembe hapo TFF, amedhibiti mianya yote ya upigaji pesa TFF labda hilo ndo linalomfanya kuwa na maadui wengi sasa.Watanzania tubadilike jamani! Shutuma za kila siku zisizo na msingi hazitusaidii
  2. K

    JamiiForums Tanzania Magreth Kobelo Gonzaga anayetafutwa na TAKUKURU kwa kukimbia kesi ni nani?

    Jamani nauliza nyie wana fb, hivi nn maana ya head to head katika soka?tafadhali wajuzi wa mambo ya soka nifahamisheni.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari aliyeandika ‘RC amekataza kuvaa sare za vyama kwenye uzinduzi wa Mwenge’ akamatwa akidaiwa kupotosha

    Ulitaka aandike upuuzi wake halafu aachwe tu! Kumbuka kila kazi ina miiko yake mjomba, nchi haiwezi kupelekwa pelekwa kila mtu afanye anavyotaka lazima pawepo na dicipline.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kama hajapata Mshahara aniandikie barua, acheni kuwafanya wabunge Miungu watu

    Hadhihakiwi ki vipi sasa, sema hilo dukuduku lako dhidi ya mh Ndugai kafanyaje?hizo kelele za huyo mungu wenu aliyelalamika kunyimwa mshahara imekuwaje analalamika vitu asivyokuwa na ushahidi navyo? Hivi huyu ni mtu wa namnagani?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi wa TV

    Naomba mnijuze wakuu, nimefunga solar power nyumbani kwangu halafu nineweka invetor kwaajili ya kuubadilisha umeme kutoka DC to AC, ile nyumba ya uwani umeme wake natumia DC na huu wa AC natumia kwa nyumba ya mbele kwa kuwasha TV ya 'in' 32 ya kawaida siyo ya solar. "Ninachotaka kujua naweza...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sijaona faida ya Ziara za Rais wetu Magufuli

    Wacha ujinga wako, kasome!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwijage azomewa na wabunge kutoka Zanzibar

    Na wala hutielewa mpaka uingie kaburini "shubaabet" wachawi nyie!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aliyefanya kazi chini ya kiwango tokea Uhuru wa Tanganyika

    Wacheni mautani yenu bana kwa mzee wetu mamvi, kasema hata waje sitini atawashikisha adabu!
Back
Top Bottom