Michango imerudi kwa kasi sana katika shule za msingi na sekondari pia, ikiwemo pesa ya taaluma, ulinzi, masomo ya jioni, mitihani ya jumamosi, rimu n.k.. Sasa ningependa kuuliza elimu bure inakuwaje? kama wanafunzi wanatozwa pesa kubwa tena zaidi ya miaka hiyo ilipokuwepo ada.
USHAURI: KAMA...
Wadada huwa wanazalishwa na kutelekezwa kwa sababu hawa wadada huwa wanashindwa kujua mwanaume yupi ni mkweli na yupi ni muongo, kwa maana kwamba mdada akifuatwa na mwanaume na akaahidiwa ndoa na maisha mazuri huwa anamuamini huyo mwanaume hata kama ni muongo.
NB: Wadada wengi kuwa na watoto...
Maswali mengi aliyoulizwa ameshindwa kuyajibu mifano katiba imeruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa..kwa nini wao kama chama na serikali wanazuia??, ujenzi wa bwawa la umeme upo kwenye ilani ya CCM?
Ila mwishoni alimaliza kwa kujibu vizuri swali la katiba mpya itengenezwe au...
Mwendazake na aliyepo sasa wana mitazamo tofauti kabisa, yaani huyu wa sasa anapingana na mambo aliyoyafanya mwendazake..mfano ni hili la wanafunzi kupata ujauzito.
USHAURI KWA MAMA WA KAYA: Ajitahidi sana kuongoza kaya kwa kuwathamini wanakaya anaowaongoza, na sio kuwaumiza wanakaya kwa kisingizio cha kukuza uchumi.
Kiongozi bora ni yule anayewathamini watu anaowaongoza na si vinginevyo.
Kumekuwepo na baadhi ya viongozi wasiowathamini watu wanaowaongoza, wanawaumiza watu kwa kisingizio cha kukuza uchumi.
Kupanda gharama za vitu hovyo hovyo, kodi kubwa zinazowaumiza watu, kukosekana kwa huduma za kijamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.