Legacy inapoyeyuka mithili ya jibini juani

Kiukweli wahenga hawajawahi kukosea kila walichokisema hutokea
Mfano!!! Ivumayo haidumu,Ngoma ililia sana jua inapasuka!!! Mbio za sakafuni huishia ukingoni!!! Na mingine mingi tuuuuu
Sasa sisi wazee wa legacy tupo hoi!!!
Kwa sasa kila jiwe lina geuzwa "juuu chini chini juuu" tatizo nn! Mbona hali imekuwa hivi!
1) Waliozuiwa wasiende shule kisa mimba sasa ruksa
2) Waliokuwa watendaji na kisifiwa wengi chaliiiiii wengine kumbe majambaz!!!
3) Bandari ya "bwaga moyo" ruksa
4) Uchumi wa kati kumbe ilikuwa hadaa alikuwa ni kopakopa!!!
5) Kale kakitongoji kuwa mkoa Noooooooo!!!
6) Madaraja juuu
7) Biashara na majirani iko poa!!!
8) Bwawa letu pendwa lilichokua mabilion halina maji!
9) Kufundisha uzalendo kwa kiswahili !!! Nooooo tupa kuleeee!

Sasa hata mwaka haujaisha legacy inayayuka mithili ya jibini katika jua Kali! Vipi ikiisha miaka mtano!
Tuheshimu wahenga

View attachment 2024232
20211127_064012.jpg
 
Ukweli ni kwamba kuwapambania Binadamu inahitaji moyo sana, na pia utendapo mazuri usitegemee kupokea mazuri hii ni ili ule usemi wa " tenda mema nenda zako...".

JPM alifanya mazuri na mabaya pia, lakini mazuri yalikuwa mengi zaidi, lakini wapi!!! watu wanasimanga na kuona mabaya yake tu na siyo wapinzani tu bali hata watu waliokuwa karibu naye.

Nimalize kwa kusema, Watanzania wanaona yanayoendelea kwahiyo hawa vinyonga hawatadumu milele.
Alifanya mazuri kwenu huku kwetu hakuna hata moja
1) hakuongeza mshahara kwa miaka mitano watumishi waliishi kama mashetani
2) aliwapanga watu wa kwao kila idara
3)kila kitu ilikuwa ni chato !!! Eboioo hivi kila rais angefanya hayo ingekuwaje!!
4)mikopo kwa elimu ya juu ilikuwa balaa hailipiki " eti mtetez wa wanyonge!!!
5) midege alonunua hasara tupu!!! Mpaka sasa kuna loss ya bil 600
6) bwala aliambia aendeleze gess akajiona mjiuaji sasa halina maji
7)ukabila na ukanda ndio zikikua agenda zake
8) PhD holder unahangaika na.mimba za watoto wa shule!??
9)eti kurudia uchaguzi za wabunge kisa chama chake kishinde!!! Kurudia uchaguz ni zaid ya bil 3
10) wasaidizi wake sasa mahakama zinadhibitisha ni majambazi!!!
 
kama hutaki kuitaa mtetezi wa wanyonge kashinde chooni tu,hakuna kitu mtaeleza wananchi wawaelewe.
 
Kiukweli wahenga hawajawahi kukosea kila walichokisema hutokea
Mfano!!! Ivumayo haidumu,Ngoma ililia sana jua inapasuka!!! Mbio za sakafuni huishia ukingoni!!! Na mingine mingi tuuuuu
Sasa sisi wazee wa legacy tupo hoi!!!
Kwa sasa kila jiwe lina geuzwa "juuu chini chini juuu" tatizo nn! Mbona hali imekuwa hivi!
1) Waliozuiwa wasiende shule kisa mimba sasa ruksa
2) Waliokuwa watendaji na kisifiwa wengi chaliiiiii wengine kumbe majambaz!!!
3) Bandari ya "bwaga moyo" ruksa
4) Uchumi wa kati kumbe ilikuwa hadaa alikuwa ni kopakopa!!!
5) Kale kakitongoji kuwa mkoa Noooooooo!!!
6) Madaraja juuu
7) Biashara na majirani iko poa!!!
8) Bwawa letu pendwa lilichokua mabilion halina maji!
9) Kufundisha uzalendo kwa kiswahili !!! Nooooo tupa kuleeee!

Sasa hata mwaka haujaisha legacy inayayuka mithili ya jibini katika jua Kali! Vipi ikiisha miaka mtano!
Tuheshimu wahenga

View attachment 2024232
Watu wasioipenda legacy hujitahidi kuiua mapema na haraka, lakini hadi baada ya miaka 100 ya kufa kwao legacy huendelea kusimama. Subiri baada miaka 20 uulizie legacy uone kama haipo imesimama dede!
 
Mwendazake na aliyepo sasa wana mitazamo tofauti kabisa, yaani huyu wa sasa anapingana na mambo aliyoyafanya mwendazake..mfano ni hili la wanafunzi kupata ujauzito.
 
Raisi wa awamu ya tano alipingana na ilani ya chama chake mwenyewe.

Wasichana waliopata mimba kurudi shuleni baada ya kujifungua lilikuwepo kwenye ilani ya ccm 2015.
 
hata 10% zipo kwenye ilani.
 
Mwisho wa siku labda itabakia legacy ya 4 tu na Familia yake hapa Tanzania, ngoja tuone mtafika mbali kiasi gani, kwani kila mtu ni Adui ilianzia Nyerere aliwanyima Uraisi, akaja Mkapa akapita ikaja Lowasa adui mkubwa alichafuliwa mpaka mitandaoni akaitwa kajinyea wakati huo Magufuli ni Malaika kwamba kamshinda adui Lowasa sasa leo Magufuli adui na Samia ni Malkia ngoja tuone nayo itaishia vp.

RIP Nyerere, Magu na Mkapa !
 
Back
Top Bottom