Huyu ni mmoja wakuu wa jeshi katika vita vya Kagera nil I of appreciate na mfano bora. Wengine ni Mayunga, Mboma. Mboma namna alivyokuwa anasanifu ndege za kivita za jeshi, nilimwona uwanja wa ndege Zanzibar akizisanifu ndege angani. Kubwa kuliko yote huko Uganda alipotekwa na ndege za jeshi za...
Wewe Zito Kabwe tangu Mbowe akutimue Chadema unaonekana kuweweseka huna hoja za mashiko, kwani raisi kufanya sapraiz ateki kwenye taasisi vibaya si moja ya kazi zake? Mkuu wa taasisi ataendeleza alipoishia raisi!
EBALE hao viongozi wa uamsho wamefànya mambo mabaya sana Unguja. Kila mikutano yao huishia fujo, amani hutoweka kwa kuchoma makanisa na kuwatia hofu imani nyengine, haya hayasemwi, kwa takuwa zao hao uamusho walimuua padri huko Beit-ras bila sababu yoyote, pia walimpiga risasi padri kwenye geti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.