Recent content by Kumpondo lymoi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    hapo mimi naona cha msingi ni kujenga wakati uko safi kiuchumi haijalishi kama ndo unaanza kazi au vipi!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    serikali tatu ndio itapunguza migogoro katika nchi!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Upepo ulikuwa huku kilwa yaani upepo mkali na mvua kubwa sanaa!Lakini bado sijapata taarifa za majanga yeyote!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

    Vipi kuhusu yule kitimoto wa polini maana yeye hujitafutia chakula mwenyewe!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la CHADEMA kupekua simu za watu ni aibu

    well done CDM!tatizo la watu wengi tunaishi kwa mazoea na tuna sahau mazoea sio sheria...kwahiyo kama ulizoea kuona mambo ya ccm usidhani ndio mfumo bora wa politics...kwa hiyo tusishangae kuona CDM inavyo jitahidi kujiweka salama!
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

    Poleni sana mlioshikwa na msiba huo!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Lowasa hajafanya jambo zuri sana katika uongozi wake...yeye kwanza ni mtu wa kurupuka na na mtu anaye ropoka tuu anapenda kuwanyoshea wenzie kidole sasa mtu huyu hafai katika uongozi...! Pili watanzania wengi ni kama bendela leo lowasa anashabikiwa lakini nikija mimi na pesa zangu nitasifiwa tuu!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    taarabu hiyo yenye nyimbo moja tuu...tumeichoka badilisheni nyimbo!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    yangu macho hapa!lakini zitto ungekuwa kweli unamapenzi na ukweli hizo tuhuma ungezitoa mapema!
Back
Top Bottom