Recent content by Kumfumaster97

  1. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Plan B ya kuingia X(Twitter) Natumia Huawei Nova 2s

    Poa poa mkuu
  2. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Plan B ya kuingia X(Twitter) Natumia Huawei Nova 2s

    Pamoja mkuu maan hata mimi mwenyewe whatsaap wamerestrict kuchati
  3. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Plan B ya kuingia X(Twitter) Natumia Huawei Nova 2s

    Napata access ya playstore ila niki search X haipo playstore nimejaribu kuingia kupitia google bado napata changamoto Android yake ni 10
  4. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Yanga anafungwa leo

    Ongelea mihemko mkuu utakuja ulie au huoni hoja za maana huko juu wadau wametoa
  5. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Kuna Maisha Nyuma ya Hizi 'ID' Zetu, Tusiache Kupendana ❤️

    Aje humu huyo Lucas Mwashambwa kuomba msamaha maana ametukosea sanaa kwa kufumbia macho mambo ya msingi
  6. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga ni uhitaji wa mahitaji ya team au ni kumkomoa mtani?

    Mihemko ni jambo mbaya sanaaa hujui hata timu yako ina mapungufu ya mchezaji gani nutshell
  7. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Plan B ya kuingia X(Twitter) Natumia Huawei Nova 2s

    Kwanini kaka
  8. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Plan B ya kuingia X(Twitter) Natumia Huawei Nova 2s

    Nimeangalia kupitia google lakini napat shid au nisaidie kunitumia link mkuu utakuwa umenisaidia sanaa
  9. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Plan B ya kuingia X(Twitter) Natumia Huawei Nova 2s

    Habari za muda huu wakuu its Blue monday hope mko poa ambao wanaumwa Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema mtakuwa sawa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nashindwa kudownload X (Twitter) kwa sababu moja natumia Huawei Nova 2s ina android ya 10 thus why nashindwa kudownload So kwa anaejua plan...
  10. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Argentina wagoma kupeana mikono na Trump

    Sijaona cha maana hapo
  11. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umeona hapo mkuu
  12. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ipo mkuu
  13. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Mary Claire: Sikumlazimisha anilipie ada na sikujua kuwa ameoa

    Swali zuri sanaaa
  14. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Mary Claire: Sikumlazimisha anilipie ada na sikujua kuwa ameoa

    Unatetea ujinga somehow mdada kasema hampendi mshikaji na kingine anasema kwamba mwanaume alikuwa na mke how come ?mwanamke anatamaa sanaa hakika matokeo yake ameyaona na hii ni kwa wanawake wote kama humpendi tembeza kwato kwingine acheni hizo mbanga za kula pesa za usimpenda na huna future nae .
  15. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Mary Claire: Sikumlazimisha anilipie ada na sikujua kuwa ameoa

    Huyo mwanamke alivyomaliza chuo huenda alitoa majibu ya shombo na kama alimkataza kulipia ada baada ya kuombwa control namba kwanini zile pesa za mzazi wake za ada kwanini asizitume moja kwa moja kwa jamaa
Back
Top Bottom