Recent content by kumbombakiki

  1. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Hii story sio kweli, koboko ivi wanamjua vizuri ? Anaweza kukung'ata hata mara kumi na huwezi chukua dakika hata 15 unakuwa ushakwenda....bila huduma kwanza.
  2. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Sitarudia tena kuruka kwenye Daladala ikiwa Haijasimama kama Makondakta

    Nimcheka mpaka machozi jamaa alipo sema asalaleee.....
  3. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Taifa star

    kweli tupu mkuu, hii kikosi ingepangwa mechi ya kwanza basi pengine tungepata hata point moja ya ugenini....ila si mbaya pointi tatu muhimu kibindoni...
  4. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Erasto Nyoni out Taifa Stars!! Kwanini??

    Mkuu jamaa katulia kinoma ukiangalia kipindi cha kwanza jamaa walikuwa wakipambana kukamata kati ila jamaa akawa anatuliza mipira na kuturudisha kwenye game alipoingia Boko na feisal Nyoni akamaliza kazi pale kabisa akisaidia na yahaya mudadhiri hatariiiiiiii
  5. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Erasto Nyoni out Taifa Stars!! Kwanini??

    mkuu kuna mtu kati alipakamata kinoma he goes by the name ERASTO NYONI HATARIIIIIÌI
  6. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Wajameni!! Tatizo la Stars ni Kocha pamoja na Mapro!!

    mkuu hata mimi nimeona hilo mkuu beki na kiungo wote chali ukiangalia unaona mipira kufika kwa washambuliaji inakuwa ngumu na wamepoteza mipira mingi sana iliyoleta madhara kwetu.
  7. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Wajameni!! Tatizo la Stars ni Kocha pamoja na Mapro!!

    kosa kubwa sana wanasema kama huwezi kufunga basi usifungwe.
  8. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Wajameni!! Tatizo la Stars ni Kocha pamoja na Mapro!!

    ni kweli kuna majembe pale benchi na wangepata nafasi tungefanya kitu
  9. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Wajameni!! Tatizo la Stars ni Kocha pamoja na Mapro!!

    Game plan imegoma kabisa team imepoteana mapema tulipopigwa goli la kwanza. ukiangalia kiungo hakuna ubunifu kabisa.
  10. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha utaifa kimeokotwa

    MKUU HABARI ...HUYU NDUGU NAMJUA NI JAMAA YANGU NAOMBA NIKUPE NAMBA YAKE UMSAIDIE TAFADHALI.
  11. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Kichuya:Niliua off-side,ni mechi ya Mbeya City

    Mkuu huwa napita tu humu kusoma comments za watu, ila hii yako nimecheka sana kwa sauti hadi daladala nzima wamenishangaa..... Offside fc wabishi sana.
  12. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Baa ya white Inn yaungua moto

    Naomba nikurekebishe mkuu BVR 2015 ni carribean inayotazamana na shikamoo pub mbele kidogo ya kituo cha dala dala whiteinn
  13. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Spora Liana: RC Arusha aliniomba hongo ya Millioni 100

    wacha uongo bana hujui Chohote kuhusu Bagamoyo uliza upewe habari za ukweli sio kumsifia mtu anayekiuka taratibu za kazi. huyo Magesa kwanza kabisa alinusurika kuwa chizi alipopata ajali na kuumia kichwa alikuwa chizi miezi 9, 2 alikuwa posta sumbawanga na kupiga kampeni kwa pinda baadae akapewa...
  14. kumbombakiki

    JamiiForums Tanzania Spora Liana: RC Arusha aliniomba hongo ya Millioni 100

    mkuu nikurekebishe kidogo mama wa bagamoyo alikuwa anaitwa rhoda nsemwa alikuwa ded. Huyo amina na magesa walishirikiana kumtesa yule mama. Nako aliomba ml 75
Back
Top Bottom