Baa ya white Inn yaungua moto

Baa ya white Inn yaungua moto

BVR 2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
447
Reaction score
985
Baa ya white Inn iliyopo sinza karibu na hotel ya defrance inaungua moto sasa hivi
 
Naomba nikurekebishe mkuu BVR 2015 ni carribean inayotazamana na shikamoo pub mbele kidogo ya kituo cha dala dala whiteinn
 
daaah! so sad!! Walevi wenzangu wana hali gani huko??
 
unaulizia chanzo cha moto sinza hizo zitakua ni dhambi tu zimezidi Mungu kaona azipunguze huku huku pale ni ficho kubwa la uhalifu wa kijinsia
Isije ikawa mnaoishi huko uliko ndo mnakwenda kufanyia dhambi zenu Sinza
 
Back
Top Bottom