Recent content by kulwa12

  1. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    kweli Arusha kazi ipo..no company!!
  2. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    preta wewe kua halfcast sio sababu ya kunifanya mimi case study ya jinsi mtu anavyoweza kuvumilia upweke huu,ungenisaidia tu,nashukuru lakini.
  3. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    mzee pole sana,bora twende zetu tanga,arusha ukarimu ni bidhaa adimu sana nimeamini unaweza kupata tanzanite kirahisi kuriko mtu wa kukutoa upwekee!!kweli jamani wageni hamtukarimu???
  4. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    nashukuru kipipi kwa msaada huo!
  5. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    Erotica SIO MANENO YA FARAJA HAYO KABISA NAONA UNATUKANA MAMBO KABLA HUJAVUKA MTO..WE HUJUI WAPWEKE NDIO WANAJUA KUJALI??HIYO SIO DISQUALIFICATION KABISA,JARIBU UONE UKARIMU WANGU EROTICA.
  6. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    Jaman ndugu yangu kama uko hapa kwanini usini PM tu kimya kimya mpaka uninyanyase hivi kwenye Public??haya bwana.
  7. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    niko hotel ya hadhi kabisa hapa town center..ni pm namaba yako nikupigie haraka kabisaa..ahsante sana sana!
  8. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    reta vipi tena kashifa hizo?mi niko serious..na nimefikia hotel kubwa na ya hazi ya nyota kadhaa..sio mbabaishaji kabisa,nilitegemea humu na ndugu zangu wa jf watanielewa..leo nashida mmanitupa.nashukuru preta dunia duara lakini kumbuka.
  9. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    na kweli am very lonely...kweli kweli kweli..nahisi kama siko tanzania vile!
  10. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    ahsante sana ndugu yangu kartibu sana.ni pm contacts zako nikupigie tuongee vizuri.
  11. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    Ndugu yangu acha mawazo ya ajabu,kwani kuna ajabu gani mtu kukutana na weneyeji wa eneo geni kwake na kuongea?huo ndio uzinzi??
  12. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    Yani JF sio sehemu ya kuomba msaada kabisa kama presha iko juu,mnanitakia nini mwenzenu na majibu haya yasio na faraja?
  13. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    Jamani binti mrembo uliyepo hapa arusha ni pm tafadhari upweke unanimaliza...nimehamia hapa kikazi na niko hotelini tu..karibu japo tubadilishane mawazo na kupata kinywaji kwa muda..ni hilo tu wana familia wa jf arusha.
  14. K

    Associate consultants (records&information management) vacancies

    Ndugu yangu kama unashida na kazi hutaangalia hayo,wengi tuliappl-apply kwa e-mail hizo hizo na tukapata kazi au otherwise tumia P.o.Box iko hapo wameweka. Mi pia na firm na website pia but najua matatizo ya e-mail account the website zetu na jinsi sevice providers wengi connection ilivyo down.
  15. K

    Log designer urgently needed

    A CONSULTING FIRM IS URGENTLY LOOKING FOR AN EXPERIENCED LOG DESIGNER TO DESIGN IT A LOG KINDLY SEND US YOUR DETAILS INCLUDING YOUR PREVIOUS LOG DESIGN AND PRICES AT president2003tz@yahoo.com 0r call 0653 07 59 49
Back
Top Bottom