Upo sahihi lakini kumbuka wataalamu wanaotokana na masomo ya arts wapo wengi Sana at the same time tuna uhaba wa wataalamu wanaotokana na masomo ya sayansi ndo maana serkali imeweka kipaumbele kwenye masomo ya sayansi kwa sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.