Recent content by kulwa mayemu

  1. kulwa mayemu

    JamiiForums Rais Magufuli acha kutembelea nchi masikini hazitakusaidia chochote

    Watanzania tuamke, hivi inchi anazotembelea rais haziwezi kuongeza chachu ya maendeleo tz?, acheni dharau Mungu anawaona. MTU wa karibu yako ni first aid ya matatizo yako binafsi nampongeza raisi.
  2. kulwa mayemu

    JamiiForums Nawezaje kununua betri orginal

    Naomba kujua jinsi kununua battery la simu original
  3. kulwa mayemu

    JamiiForums M- koba

    Ndondo si chururu, waswahili walisema, njoo tuungane kwa pamoja kuchanga kidijitali fedha ambayo itatumika kukopeshana bila riba kama ilivyo kwa TALA na BRANCH
  4. kulwa mayemu

    JamiiForums TALA Tanzania ndio walioiponza Vodacom Tanzania

    Je mkopaji wa Tala anaweza kuitwa tapeli ? , kama ni ndio nini maana ya mkopaji na tapeli??
  5. kulwa mayemu

    JamiiForums Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Je mkopaji anaweza kuitwa tapeli??
  6. kulwa mayemu

    JamiiForums Watu wanne Mkoani Musoma wamehukumiwa kwenda jera miaka 150 baada ya Kupatikana na kosa la wizi wa kutumia siraha

    Yani hio miaka ukifa omba usifufukie Tz maana kifungo kitaendelea
  7. kulwa mayemu

    JamiiForums TALA Tanzania ndio walioiponza Vodacom Tanzania

    Ha haaa!!! Hapa kazi tu
  8. kulwa mayemu

    JamiiForums Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Tala hawana mchezo na hela yao. Dawa Ya deni ni kulipa
  9. kulwa mayemu

    JamiiForums Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Dawa ya deni ni kulipa na si vinginevyo
  10. kulwa mayemu

    JamiiForums Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Adhabu yako sio kupelekwa mahakamani, adhabu yako ni kukosa mkopo hapo baadae kwa tala na wakopeshaji wengine kwa kuwa taarifa zako ziko CRB Kwa hio meseji so kitu jiandae na meseji ya kutumiwa askari, wakiambatana viongozi wa mtaa
  11. kulwa mayemu

    JamiiForums Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Usipo lipa taarifa zako muhimu watazipeleka CRB ambako taarifa zingine nyingi za wadaiwa sugu huwekwa, baada ya hapo hutakuwa na uwezo wa kukopeshwa na wakopeshaji wengine ikiwemo mabenk kwa zaidi ya miaka mitano, mpaka ulipe deni lako.
  12. kulwa mayemu

    JamiiForums TALA Tanzania ndio walioiponza Vodacom Tanzania

    Hivi sheria zinasemaje kuhusu mkopaji na mkopeshaji?
Back
Top Bottom