Recent content by Kulupango

 1. Kulupango

  Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

  Maana kicheko chako kinashawishi mtu aendelee kupigwa kelbu, chukua tahadhari
 2. Kulupango

  Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

  Sijashauri kuachana na hiyo kitu, bali vuguvugu lenu mnataka kumuingiza Rais katika matakwa yenu watu wachache, Rais inaonesha kabisa ana nia njema na nchi yake na pia anaonekatana hayuko katika kupinga katiba mpya, hivyo tumpe muda bado ni mapema kumpa joto hilo.
 3. Kulupango

  Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

  Tumia lugha ya staha chief, Taasisi zenye nguvu hazitegemei katiba kiongozi, kwasababu Taasisi pia zina miongozo yake, zinachukuliwa kuwa msingi muhimu wa kiutendaji kwa Serekali. Kiongozi mwadilifu ndio huleta taasisi bora ambazo zina uwezo wa kutoa sheria, kusaidia ukuaji wa uchumi na...
 4. Kulupango

  Bahari imechafuka

  Nimeshakuelewa
 5. Kulupango

  Bahari imechafuka

  Pole sana n'jomba, kuchapiwa ni siri ya ndani hata uwe na misuli kama Bahari
 6. Kulupango

  Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

  Sasa hao vibaka wa ccm hata hiyo mpya inayoshadadiwa si wataibaka ndugu?. Tuombe uzima ila wamueche Rais afanye kazi kwasasa
 7. Kulupango

  Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

  Kipindi nchi ina experience a tumultuous period of economic and political change tulikuwa hatuna katiba hiyo?? You are the captives of our own identity.
 8. Kulupango

  Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

  Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia. Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa...
 9. Kulupango

  Tunauza magodoro usafiri bure popote ulipo ndani ya Dar

  Nahitaji Inchi 12 6*6 bei gani?
 10. Kulupango

  Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

  Naweza kupata link yake mkuu?
Top Bottom