Recent content by kulumudi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa achukuliwe hatua kwa kushindwa kuandaa mtafasiri wa lugha ya Kiingereza kwa ajili ya Mh. Rais.

    atafanya kazi ngapi sasa kwani hao mabeberu walikuwa hawajui kwamba magu ni mswahili wao ndo walitakiwa waandae wakalimaki kila mtu kulingana na lugha wanaotumia wasituchoshe😁😁
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sababu 3 Kwanini Magufuli Anatumia Kiswahili kwa Wageni na Ngambo... na maana yake kwetu...

    naunga mkono hoja nilazima tuwe wazalendo wa kupenda vya kwetu kwanza
  3. K

    JamiiForums Tanzania 2020 Uchumi wetu Tunauzika Rasmi

    acha watu wafanye kazi kama wewe huoni umuhimu wa hii miradi piga kimya watakuja tumia wanao baadae wataona faida na umuhimu wake
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumekucha TTCL wateja sasa bwerere!

    ni lazima tuwe wazalendo kwa kuthamini vya nyumbani
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuharibika barabara: Wakazi wa Ubungo wajuta kuichagua CHADEMA wadai imekuwa " kama" walitenda dhambi!

    Kwani hamjajua tu hawa vyama pinzani kwa sasa wanaangalia kuingia IKULU,nyie na mashidashida yenu myatatue wenyewe la sivyo itabidi muwe mnayabeba magari yenu badala ya kubebwa.Sasa ivi tupo busy na kuingia Ikulu tuuuuuuuuuuuu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Magufuli umemzaa Membe na Lissu, Udhaifu wa Ndugai umemzaa Prof. Assad na Stephen Masele

    ulicho andika ni upupu mtupu Magufuli hawezi kuwa Rais wa mwaka m1
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Rose Mboma akamatwa na Polisi kwa kusambaza picha zenye Ujumbe "Nitamchagua Membe 2020"

    kwani ameambiwa kampeni zimeanza
  8. K

    JamiiForums Tanzania AHJ-WAJAMAA chama kipya cha siasa hapa nchini kinataka kuanzishwa

    waanzishe tu shida hakuna ila hawatakuja pata popularity kama chama tawala
  9. K

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wanadai wamesitisha uhamisho mbona Wafanyakazi wanahama kwa kulipia kuanzia Tsh 700,000 mpaka 1,000,000?

    dawa ni kutaja halmashauri,afisa elimu na huyo anaye pokea hayo mahela na namba zake za simu kama zipo siku mbili tu jipu litatumbuka msiwalee waovu ma bosi zao huwa wanapita pita hata huku wanaweza wakawasaidia katika hilo
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

    dola ikaingilie uchaguzi wa DARUSO kweli? mtafutege vitu vinavyo make sense ndo mlete kwenye majukwaa
Back
Top Bottom