Kuharibika barabara: Wakazi wa Ubungo wajuta kuichagua CHADEMA wadai imekuwa " kama" walitenda dhambi!

Wakazi wa maeneo ya Goba na Tegeta A wilayani ubungo wamelazimika kuchanga sh 5000 kila mmoja ili kukarabati barabara iliyoharibiwa na mvua na madaraja yaliyovunjika.

Wakazi hao wamedai wabunge wao na madiwani wao hawapatikani hali iliyopelekea kuwaomba viongozi wa CCM wawasaidie kufikisha kero yao serikalini.
Hata hivyo baada ya watendaji wa Tarura kuletwa eneo la tukio walidai ukarabati utafanywa mwaka ujao wa fedha.

Wakazi hao wa ubungo wamedai kuwa kuichagua Chadema kuongoza wilaya yao imekuwa kama dhambi kwani maeneo mengine yote ya jiji la Dsm barabara zinakarabatiwa isipokuwa ubungo pekee.

Wananchi hao wamemtaka meya wa ubungo ajipime kama badu anatosha kuwaongoza kwani hawako tayari kuendelea kuchanga hela za ujenzi wa barabara .

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Kwani hamjajua tu hawa vyama pinzani kwa sasa wanaangalia kuingia IKULU,nyie na mashidashida yenu myatatue wenyewe la sivyo itabidi muwe mnayabeba magari yenu badala ya kubebwa.Sasa ivi tupo busy na kuingia Ikulu tuuuuuuuuuuuu.
 
Wakazi wa maeneo ya Goba na Tegeta A wilayani ubungo wamelazimika kuchanga sh 5000 kila mmoja ili kukarabati barabara iliyoharibiwa na mvua na madaraja yaliyovunjika.

Wakazi hao wamedai wabunge wao na madiwani wao hawapatikani hali iliyopelekea kuwaomba viongozi wa CCM wawasaidie kufikisha kero yao serikalini.
Hata hivyo baada ya watendaji wa Tarura kuletwa eneo la tukio walidai ukarabati utafanywa mwaka ujao wa fedha.

Wakazi hao wa ubungo wamedai kuwa kuichagua Chadema kuongoza wilaya yao imekuwa kama dhambi kwani maeneo mengine yote ya jiji la Dsm barabara zinakarabatiwa isipokuwa ubungo pekee.

Wananchi hao wamemtaka meya wa ubungo ajipime kama badu anatosha kuwaongoza kwani hawako tayari kuendelea kuchanga hela za ujenzi wa barabara .

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
We dada mbea sana sisi wapiga kura wa jimbo hili kama msipotumia bunduki na mabomu kupora masanduku ya kura Chadema itaendelea kupeta,huku watu wengi wana akili timamu na hawadanganyiki na hadaa za Bokoharam.
 
2020 chadomo inazikwa rasmi kibamba
 
We dada mbea sana sisi wapiga kura wa jimbo hili kama msipotumia bunduki na mabomu kupora masanduku ya kura Chadema itaendelea kupeta,huku watu wengi wana akili timamu na hawadanganyiki na hadaa za Bokoharam.
Hahahaa........ Tegeta A wanajuta bwashee!
 
Wakazi wa maeneo ya Goba na Tegeta A wilayani ubungo wamelazimika kuchanga sh 5000 kila mmoja ili kukarabati barabara iliyoharibiwa na mvua na madaraja yaliyovunjika.

Wakazi hao wamedai wabunge wao na madiwani wao hawapatikani hali iliyopelekea kuwaomba viongozi wa CCM wawasaidie kufikisha kero yao serikalini.
Hata hivyo baada ya watendaji wa Tarura kuletwa eneo la tukio walidai ukarabati utafanywa mwaka ujao wa fedha.

Wakazi hao wa ubungo wamedai kuwa kuichagua Chadema kuongoza wilaya yao imekuwa kama dhambi kwani maeneo mengine yote ya jiji la Dsm barabara zinakarabatiwa isipokuwa ubungo pekee.

Wananchi hao wamemtaka meya wa ubungo ajipime kama badu anatosha kuwaongoza kwani hawako tayari kuendelea kuchanga hela za ujenzi wa barabara .

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli mkuu nipo jimboni kwa ndugu mnyika huku kwembe barabara kwa ujumla si mzuri,na hivi udongo wetu ni mfinyanzi ikinyesha tu kidogo gari haiwezi pamba kilima kwa utelezi,sina hakika kama ukiwa mpinzani hupewi hata shilingi ya maendeleo au iko namna gani,kama ndugu John Mnyika uko humu,ni vizuri ukatembelea eneo lako hasa wakati huu wa mvua ndo uhalisia wa ubovu wa barabara unaonekana,Tatua hizi kero mkuu
 
JJ Mnyika amekusikia tunaye hapa!
 
Wakazi wa maeneo ya Goba na Tegeta A wilayani ubungo wamelazimika kuchanga sh 5000 kila mmoja ili kukarabati barabara iliyoharibiwa na mvua na madaraja yaliyovunjika.

Wakazi hao wamedai wabunge wao na madiwani wao hawapatikani hali iliyopelekea kuwaomba viongozi wa CCM wawasaidie kufikisha kero yao serikalini.
Hata hivyo baada ya watendaji wa Tarura kuletwa eneo la tukio walidai ukarabati utafanywa mwaka ujao wa fedha.

Wakazi hao wa ubungo wamedai kuwa kuichagua Chadema kuongoza wilaya yao imekuwa kama dhambi kwani maeneo mengine yote ya jiji la Dsm barabara zinakarabatiwa isipokuwa ubungo pekee.

Wananchi hao wamemtaka meya wa ubungo ajipime kama badu anatosha kuwaongoza kwani hawako tayari kuendelea kuchanga hela za ujenzi wa barabara .

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Kama Kodi wanalipa CCM halafu hawajengewi miundombinu ya ukweli halafu LAWAMA wanapeleka CHADEMA basi watakuwa wamelaaniwa na kuwa na ulemavu pamoja na Taahira ya akili
 
Mleta mada kavimbiwa viporo anatafuta pa kupumulia tu, kipindi hiki cha mvua maeneo mengi katika jimbo hili kutokana na mazingira ya kuwa kwenye vilima barabara zimeharibika na hakuna anayelalamika bali sisi wenyewe tunafanya matengenezo. Huyo kula kulala kwa shemeji yake mwache abwabwaje akija kushtuka dada kabigwa kibuti anaanza kutafuta hifadhi gheto kwa masela.
 
Wakazi wa maeneo ya Goba na Tegeta A wilayani ubungo wamelazimika kuchanga sh 5000 kila mmoja ili kukarabati barabara iliyoharibiwa na mvua na madaraja yaliyovunjika.

Wakazi hao wamedai wabunge wao na madiwani wao hawapatikani hali iliyopelekea kuwaomba viongozi wa CCM wawasaidie kufikisha kero yao serikalini.
Hata hivyo baada ya watendaji wa Tarura kuletwa eneo la tukio walidai ukarabati utafanywa mwaka ujao wa fedha.

Wakazi hao wa ubungo wamedai kuwa kuichagua Chadema kuongoza wilaya yao imekuwa kama dhambi kwani maeneo mengine yote ya jiji la Dsm barabara zinakarabatiwa isipokuwa ubungo pekee.

Wananchi hao wamemtaka meya wa ubungo ajipime kama badu anatosha kuwaongoza kwani hawako tayari kuendelea kuchanga hela za ujenzi wa barabara .

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Rufiji kutoka Bungu hadi nyamisati mbunge wao atakuwa wa chama cha Congress huko marekani maana kwenyewe barabara haiitiki kabisa
 
Mleta mada kavimbiwa viporo anatafuta pa kupumulia tu, kipindi hiki cha mvua maeneo mengi katika jimbo hili kutokana na mazingira ya kuwa kwenye vilima barabara zimeharibika na hakuna anayelalamika bali sisi wenyewe tunafanya matengenezo. Huyo kula kulala kwa shemeji yake mwache abwabwaje akija kushtuka dada kabigwa kibuti anaanza kutafuta hifadhi gheto kwa masela.
Hahahaa........ Mleta mada amewanukuu wakazi wa Goba usikurupuke!
 
Dada mimi ni mkazi huku na tuko bize kutengeneza bara bara zetu na mvua yetu hivyo hivyo hatusubiri hisani ya vifutu. By the way hivi ni Chadema ndiyo wanaonyesha mvua hizi zinazo haribu barabara? Na jee ni jimbo hili la Kibamba tu ndiyo limeathiriwa na mvua hizi zinazoendelea kunyesha?
 
Hahahaa....... Umeshachanga sh 5000/=
 
Huku LINGUSENGUSE(RUVUMA) tumekuwa tunachagua chama dola kwa miaka yote hii inayosemekana tumekuwa huru(57yrs)na hadi leo hakuna hata rais mmoja aliyetutembelea,na social services zote ni zero,je mtoa uzi unapendekeza nasi tujaribu kuwachagua chadema labda tutaona mabadiliko?
Hahahhaaaaa, penda sana hii
 
Back
Top Bottom