Recent content by KULIMGA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii ya Azam iwe football am sio sports am

    Habari JF. Hawa jamaa siku za jumamosi na jumapili saa 4 hivi wana kipindi eti wanaita sports AM wakati muda wote wanajadili mpira wa miguu tu. Nadhani wana JF mtanisaidia maana ya neno sports na usahihi wa jina la kipindi hiki.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ku-blacklist namba

    Download app inaitwa phone Master. Kuna option ya harassment filter una add hiyo number Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kama awamu zote nne watu walikula mafao yao yote, awamu hii shida ipo wapi

    Fedha zilikopwa awamu zilizo pita na mifuko ingekaribia kufilisika hivyo kuokoa jahazi wakaamua kubadilisha sheria.
  4. K

    JamiiForums Tanzania HESLB mnatuonea wanufaika

    Ndugu subiri Kiama.Utapigwa penalty Kubwa then Kuna value retention fee.
  5. K

    JamiiForums Tanzania HESLB mnatuonea wanufaika

    Nilikopeshwa na HESLB. Wamekata pesa na ziada. Kurudisha wanasuasua. Wakopaji wanalipishwa penalty na value retention fee.Kwanini hiyo penalty na value retention fee isilipishwe na kwao kwa kukata fedha zaidi ya mkopo wa muombaji???
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimeliwa pesa zangu na malaya

    Pole usirudie tena
Back
Top Bottom