MWANASIASA
Ni kweli hawa vijana wamewahi sana kugoma kama chuo kilivyochukua hatua ya kuwataka waondoke 'ghafla'...
Hatua nilizoshauri awali ni ile waombe ushauri,audience na rais,barua ya wazi,lobbying in the parliament[ hii naongeza sasa] na mwisho kutishia kwa kuweka deadline kuwa...