Recent content by kularaha

  1. K

    JamiiForums Tanzania kiumbe gani unayemuogopa zaidi hapa duniani?

    Naigopa ccm
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    Tatizo la hii inji imekuwa ikineemeka toka Enzi ya huyo Baba wa taifa ni kuwa wananchi ndio wanaoilisha serikali kupitia jasho letu na itaendelea hivi unless mapinduzi yatokee na kuiondoa serikali madarakani kabsa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa kuzungumzia rushwa katika chaguzi za CCM -- kulikoni?

    Inajuikana hapa tz, mbona kila kitu hakiwezekani bila rushwana mama ukitaka uongozi wenye kipato lazima ujiandae vyema.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naam,naam,naam,Nimekuja wajameni!

    Poa mkubwa jukwaa lazima liheshmike
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naam,naam,naam,Nimekuja wajameni!

    Nimekuwa nikipitia kitambo na sasa ninasema hodi hodi wajameni. Nimeamua kuwa nanyi na mniunge mkono na pale ninapokwama muwe nami jamani!
Back
Top Bottom