Recent content by kukutia

 1. kukutia

  Ijue Sheria ya Mtoto. Uliza swali lolote kuhusu Sheria ya Mtoto

  Naomba kuuliza hivi tunayo sheria inayozuia mtoto mdgo chini ya miaka kumi kupelekwa boarding schools Sent using Jamii Forums mobile app
 2. kukutia

  Research

  Habarin wana jukwaa am conducting a research on the effectiveness of the commission of human rights and good governance towards protecting human rights in tanzania ...plz naomben mnisaidie material Sent using Jamii Forums mobile app
 3. kukutia

  Philosopy of the law

  Hlw brothers and sister naomba kwa yeyote mwenye soft copy ya kitabu cha Binamungu law of Tort na material ya jurisprudence anisave
 4. kukutia

  LEGAL PROBLEMS

  Haha eeeeh aseee
 5. kukutia

  LEGAL PROBLEMS

  Habarini wasomi katika sheria ni nyanja ipi ina Legal problems nyingi kwa sasa hivi
 6. kukutia

  Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

  Niliipata lakn kuattach humu inagoma cjui nin tatizo
 7. kukutia

  Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

  Anyone with montevideo convention soft copy help me plz
 8. kukutia

  Nisaidie kisheria kuvunja ndoa

  Mahakama ikitoa taraka hyo inamaanisha hakukua na ndoa kwahyo waweza kuoa mwanamke mwingine lakn co kanisani
 9. kukutia

  Clarification

  Shukran
 10. kukutia

  Clarification

  Why married couple are disqualified by law to enter into contract
 11. kukutia

  Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

  Mwenye soft copy ya kitabu chochote cha constitutional law naomba anisaidie
 12. kukutia

  Naomba ushauri kuhusu ujumbe huu wa TCU

  Kijana nenda ukaripot chuo ukisubir itakula kwako
 13. kukutia

  Kujuzwa kuhusu chuo cha jordan-morogoro

  Habarini wadau naomben mwenye kujua kiundan chuo cha jordan hasa kwa kitivo cha sheria yaan taaluma kikoje?? Waalimu wapo wa kutosha?? Naomben msaada tafadhali
 14. kukutia

  Bodi ya mikopo yakamilisha uchambuzi wa maombi ya mikopo, 20,183 wapata kati ya 88,163 walioomba

  we jamaa acha ushamba unadhani hlo tangazo kajitungia ingia website ya HESLB utalikuta usikae unaandika pumba!!
Top Bottom