Recent content by kukumwenyehipsi

  1. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania Vodacom na DStv kuna matatizo gani?

    Kutoka Ijumaa watu wanafanya malipo ya ving'amuzi kwa njia ya M-Pesa lakini hakuna mrejesho wa ujumbe wa kuwa malipo yamefanyika au kutofanyika. Matokeo yake tunakatiwa matangazo na DStv. Ukipiga Customer Care majibu yanatolewa mepesi tu kuwa. Subiri ndani ya masaa 48 na DSTV majibu ya baadhi ya...
  2. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Ntyuka Dodoma inatia aibu

    Hii barabara ni Km 5 tu kutoka Dodoma Mjini na inaenda katika hospitali kubwa kama DCMC na MVUMI. Imejaa vumbi na mashimo hata barabara za vijijini zina afadhali. Viongozi wa mtaa, kata mmeshindwa hata kufukia mashimo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania mawaziri watatu ndiyo wanapokea simu

    Kuna Mawaziri Watatu Ndiyo wanapokea simu na nikiwapatia Malalamiko ya Wananchi wanayafanyia Kazi 1.Medadi Kalemani ( Nishati) 2.Kangi Lugola ( Mambo ya Ndani) 3.William Lukuvi( Ardhi) Na Kidogo wa Maliasili ( Khamisi Kigwangala) Nayeye kaanza kubadilika anapokea simu...
  4. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutumia usafiri wa Reli kwenda Rufiji

    *NI MRADI WA UMEME WA MTO RUFIJI SIYO STIEGLER’S – WAZIRI KALEMANI* Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amewasihi watanzania kuwa wazalendo kwa kuacha kuuita mradi wa kuzalisha umeme kwa maporomoko ya maji ya mto Rufiji kwa jina la Stiegler’s badala yake wauite kwa jina lake halisi la...
  5. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi ya Khandahar yanayofanya safari mikoa ya Singinda, Manyara na Arusha wako very rough

    mbona una hasira sana mpumbavu ni wewe unayetetea ujinga
  6. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Ntyuka Dodoma

    Hii ni barabara kubwa kutokea eneo la Kilimani hadi hospitali kubwa ya macho, Mvumi Dodoma lakini imejaa vumbi na mashimo . viongozi hamuoni? au mnasubiri mpaka mkulu apite. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa Diamond Platnumz: Kwanini watu wengi wana furaha ya chuki?

    mbona bakhresa hachukiwi au Mo. jiulize, chukua hatua
  8. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania Ntyuka na mvumi hakuna umeme toka jana

    [emoji16][emoji16]
  9. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania Ntyuka na mvumi hakuna umeme toka jana

    asante Mkuu
  10. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania Ntyuka na mvumi hakuna umeme toka jana

    hongereni
  11. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    ntyuka na mvumi dodoma giza siku ya pili sasa
  12. kukumwenyehipsi

    JamiiForums Tanzania Ntyuka na mvumi hakuna umeme toka jana

    tanesco tanesco tanesco kuna tatizo gani siku ya pili watu hawana umeme? na ni makao makuu ya nchi.
Back
Top Bottom