Recent content by kukoshanakumila

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Msafirishaji yeyote atakayesitisha huduma tunamsimamishia leseni na akirudi tutamfungia tiketi mtandao

    Watu wameamua kufanya mazoezi ya kutembea kwa lazima, hiyo hela ya nauli watanunua mboga.... Ova
  2. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

    Au ndo hawa wameamua kumstaafisha kwa lazimahttps://www.jamiiforums.com/threads/dc-kiswaga-endapo-william-lukuvi-atagoma-kustaafu-ubunge-isimani-wananchi-tutamstaafisha-kwa-lazima.2346987/
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Katiba Mpya ni muhimu sasa kuliko wakati wote!

    Mimi huwa ninahoji kwanini mtu kutoka zanzibar anaweza kuja tanganyika na kushika wadhifa wa juu hadi kuwa rais/makamu wa raisi, wakati huo huo kwa mazingira hayo hayo ya kimuungano mtu kutoka tanganyika hawezi kupewa hadhi hiyo zanzibar? Kwanini upande mmoja wa muungano ndo uvune matunda ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya Samia madarakani ametekeleza miradi mikubwa mingi kuliko Rais yeyote wa kabla yake

    hakuna dhambi lakini chumvi umezidisha chakula kitapoteza ladha maana unayoyasema huko kijijini kwetu hayapo sa cjui hyo research yako umeifanyia wapi?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya Samia madarakani ametekeleza miradi mikubwa mingi kuliko Rais yeyote wa kabla yake

    Kuna haja gan ya wewe kumsifia kwan sie hatuoni?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Imefahamika: Wamoroko walishinikiza CAF wawape ubingwa ili waweze kuandaa WAFCON, sababu nyingine mbili zisome hapa chini

    Kwan hakuna nchi nyingine yenye uwezo wa kuandaa WAFCON? na senegal wamechukua hatua gan? tupe mrejesho ndg mtafiti.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sometimes inabidi uwe gentleman unaemjali mpenzi wako na kuwa romantic, acha kuandamwa na mawazo ya kuwa "simp" ?

    Hakika mkuu yan ukijifanya una care sana basi yanageuzwa kuwa majukumu siku usipofanya tayari unakuwa mgogoro, kuwa gentleman kiasi isipitilize.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ulijuaje una date na wakishua bila mwenyewe kukuambia

    Nifundishe na mm kuungurumisha tumbo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tukipitisha sheria ya kuua au kufunga jela wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja basi haya maeneo yataathirika zaidi

    Sasa hata tusipowaua tunapata faida gan kwao kama sio kutiana aibu tu, imagine mtu wako wa karibu anakuwa na hizo tabia yan unajiskia aibu hata kuongozana nae njiani.. God forbid!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa CHADEMA walitaka kukutana Musoma na sio Dodoma?

    Mbona CCM haijawai kuwekewa vikwazo vyovyote, ina maana wao hawajawai kufanya kosa? au ndo kwamba boss hakosei?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa sio la kimwili pekee ni la kiroho pia

    Inategemeana na kile unachokiamini na nguvu yako psychologically and mentally as well
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kupitia TANROAD, ni afadhali kutokujenga barabara za lami zenye kiwango cha chini mpaka pale budget kubwa itakapopatikana

    Tatizo sio budget, tatizo ni usimamizi mbovu hata wale wanaoenda kukagua mradi kabla haujakabidhiwa sijui huwa hawaoni na kingine me nadhani ni mikataba wanayosaini hao wakandarasi haiwabani unakuta barabara ina miaka miwili tu lakn imeshachakaa na bado mbunge anaenda kuomba fedha za ukarabati...
Back
Top Bottom