Recent content by kujua

  1. K

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Rest in peace askari wenzangu, Mungu atutie nguvu ktk utendaji. Pia tukumbuke leo kauliwa askari kesho waweza vamiwa wewe nyumbani kwako tushirikiane ktk kuleta amani ya nchi yetu
  2. K

    Magufuli aitia Wizara hasara ya Bilioni 2

    kuna kitu kimejificha hapo kwa sababu alie kuwa shahidi mkuu ktk kesi hiyo kuitetea serikali alifariki na ndo alikuwa tegemeo na wingine ambae alibidi atoe ushahidi tiyar kesha pokea mshiko wake na kujitoa kwenye kesi unazani hapo serikali inashida je ndo maana wenzetu China unanyongwa au...
  3. K

    KIPIMA JOTO-ITV: CCM Walipitisha Miswada Itakayowamaliza waTZ

    tatizo humu ndani tunajadili kichama na kiitikadi bt ki ukweli kanuni hazikufwatwa mi nazani kuna kitu kimejificha katika mswada hiyo iliyosababisha isijadiliwe kwa makini
  4. K

    Escrow ''yamruka'' Zitto Kabwe

    ipo siku mbivu na mbichi zitajulikana asante kwa habar keep it up
  5. K

    Dodoma: Wanaharakati wapinga kuwasilishwa kwa Miswada kwa Hati ya Dharura

    ccm mi nazani umefika wakat wa kufanya mambo yanayo eleweka na sio kibabe hivi ili tujenge nchi yetu vizur kwa amaniii na si kwa manufaa yenu
  6. K

    Vijana changamikia fedha za bwelele kutoka kwa wana CCM Kagera

    hii ndo Tanzania yetu alafu tunawachagua walikupa elfu 5 utazitoa mara elfu ya hiyo hela na ndo maana ubathilifu unakithili saaaaaaana na kuendelea kuota mizizi siku hadi siku
  7. K

    Msafara wa Waziri Mkuu M. Pinda wapata ajali raia walaumu spidi ya msafara

    kabisaa mkuu umenena vena cjui wanaogopa nn
  8. K

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    R.I.P capten John Komba Nuru ya milele ikuangaze
  9. K

    Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    nazani elimu yako haija kukomboa bt ndo uelewi wako ulivyo
  10. K

    Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    kwani wakina mengi wanapotoa misahada kwann serikali isimwambie ahache ni kaz yao mi nazan kama mwana jamaniiii angetoa mchango wake sio hela yote kuishia tumbon na mbona wanakijiji ndo wanaochangia maendeleo kwann serikali isifanye coz ninavyojua mm serikali ni mm, ww na yy
  11. K

    Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    kwanini asijenge mahabara au asinunue vitambu au madawat katika shule zetu za kata? ?? badala yake wanatusumbua walala hoi na kula kodi zetu ila Mungu atalipa siku moja
  12. K

    Bunge lichukue hatua za dharula dhidi ya CCM, hii ni hatari kwa nchi

    hilo lipo wala halipingiki ccm wanatumia magar ya serikali kufanya mambo ya kichama
  13. K

    Mwigulu na Zitto waungana urais 2015

    hawa wanasiasa hawa jamaniiii Mungu ibarik Tanzania
Back
Top Bottom